Tunduma ni mji wa Kibiashara amabo unaunganisha nchi za kusini kama vile Zambia, Kongo, Malawi na Zimbabwe
Hivyo inawakaribisha wawekezaji wa sekta ya viwanda kuja kuwekeza kwani soko ni uhakika
Halmashauri inaeneo la kutosha kuanzishi viwanda Vikubwa, viwanda vya kati na Viwanda vidogo
Msampania, Chapwa - Tunduma
Sanduku la Posta: P. O. BOX 73
Simu ya Mezani: +255 25 2957389
Simu ya Mkononi: +255 754 549 511
Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa