HAKUNA WANYONYA DAMU TUNDUMA - DC Irando
Mkuu wa Wilaya ya Momba NDUGU JUMA Saidi Irando ameyasema hayo alipokuwa katika mkutano wa Hadhara wa Kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma kata kwa kata ambapo Leo alikuwa katika KATA ya Chipaka.
DC IRANDO amesema “niliposikia uvumi wa wanyonya DAMU toka Zambia nilienda moja kwa moja kuzungumza na DC wa Nakonde - Zambia na yeye pia alikuwa hajui hivyo narudia tena hakuna wanyonyadamu”
DC IRANDO pia amemwagiza Meneja wa TANESCO kushughulikia suala la Umeme ambalo limekuwa kero Kubwa ndani ya Wilaya ya Momba
Msampania, Chapwa - Tunduma
Sanduku la Posta: P. O. BOX 73
Simu ya Mezani: +255 25 2957389
Simu ya Mkononi: +255 754 549 511
Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa