Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Tunduma anawatangazia wananchi wote walioomba nafasi za kazi za mkataba za ukusanyaji mapato kwa tangazo la tarehe 21.05.2021 na kuitwa kufanya Usaili 17/06/2021 wafuatao wameitwa Kazini
kupata majina hayo bofya hapa
Msampania, Chapwa - Tunduma
Sanduku la Posta: P. O. BOX 73
Simu ya Mezani: +255 25 2957388
Simu ya Mkononi: +255 752 807 767
Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa