Mkuu wa Wilaya ya Momba anawatangazia wananchi wote waliofanya usaili wa Ajira ya muda za UKARANI, USIMAMIZI WA MAUDHUI NA TEHAMA kwa zoezi la SENSA ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika Halmashauri ya Mji Tunduma kuwa majina ya waliofaulu katika Usaili huo tayari yametoka
Mafunzo yatafanyika katika KUMBI TATU TOFAUTI ndani ya Mji wa Tunduma siku ya IJUMAA Tarehe 29/07/2022 saa 2:00 Asubuhi
KUMBI ZA KUFANYIA MAFUNZO YA SENSA KWA KATA
1. SHULE YA SEKONDARI MWL. J. K. NYERERE
2. SHULE YA SEKONDARI TUNDUMATC (MAPOROMOKO)
3. SHULE YA MSINGI ELISABENE
WASHIRIKI WANATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO: -
NB: Wale ambao hawataona majina yao kwenye tangazo hili watambue kwamba
hawakufanya vizuri katika usaili na wasisite kuomba tena mara nafasi nyingine
zitakapotangazwa
Majina ya walioitwa yameambatanishwa hapa chini
Kupata majina hayo bofya hapa chini
MAJINA YA WALIOITWA KATIKA MAFUNZO YA UKARANI, MAUDHUI NA TEHAMA.pdf
Msampania, Chapwa - Tunduma
Sanduku la Posta: P. O. BOX 73
Simu ya Mezani: +255 25 2957388
Simu ya Mkononi: +255 752 807 767
Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa