Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma anapenda kuwatangazia wananchi wote wa ndani na nje ya Tunduma kuwa Halmashauri inatarajia kuajiri MTENDAJI WA MTAA, MAKATIBU MAHSUSI, WATUNZA KUMBUKUMBU na MADEREVA hivyo mwenye sifa aombe kwa kupitia tangazo lifuatalo.
kupata tangazo Bofya hapa
Msampania, Chapwa - Tunduma
Sanduku la Posta: P. O. BOX 73
Simu ya Mezani: +255 25 2957388
Simu ya Mkononi: +255 752 807 767
Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa