• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

RATIBA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI

Wednesday 2nd, July 2025
@


MTIHANI UTAANZA TAREHE 08/09/2021 HADI TAREHE 09/09/2021


MAELEKEZO MUHIMU

1. Hakikisha kuwa unayo Ratiba ya Mtihani ya mwaka 2021 iliyoandaliwa na Barazala Mitihani la Tanzania.

2. Kabla ya kufungua bahasha yoyote yenye maswali ya mtihani, hakikisha kwambaunasoma jina la somo juu ya bahasha husika na kujihakikishia kuwa somo hilondilo linalostahili kufanyika wakati huo kulingana na Ratiba ya Mtihani.

3. Endapo utata utajitokeza kati ya maelekezo yaliyomo ndani ya Karatasi yaMtihani na Ratiba ya Mtihani, maelekezo yaliyomo katika karatasi ya Mtihanihusika ndiyo yatakayofuatwa.

4. Watahiniwa WASIOONA na wale wenye UONI HAFIFU waongezewe MUDA WAZIADA WA DAKIKA 10 KWA KILA SAA kwa Mtihani wa Kiswahili, 'EnglishLanguage', Maarifa ya Jamii na Stadi za Kazi, Sayansi na Teknolojia na Uraiana Maadili.

5. Watahiniwa WASIOONA na wale wenye UONI HAFIFU waongezewe MUDA WAZIADA WA DAKIKA 20 KWA KILA SAA kwa mtihani wa Hisabati.

6. Msimamizi wa watahiniwa WASIOONA awe Mtaalamu mwaminifu aliye na uwezowa kusoma maandishi na alama za ‘Braille’.

7. Watahiniwa wenye UONI HAFIFU wapewe karatasi za mtihani na za kujibia zenyemaandishi yaliyokuzwa, zilizoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kwamatumizi yao.

8. Karatasi zenye majibu ya watahiniwa wenye UONI HAFIFU zifungwe kwenyebahasha za pekee. Zisichanganywe na karatasi za watahiniwa wenye Uoni wakawaida.

9. Watahiniwa waelekezwe;

(a) Kuingia ndani ya chumba cha Mtihani nusu saa kabla ya muda wa Mtihani nawatakaochelewa kwa zaidi ya nusu saa baada ya Mtihani kuanzahawataruhusiwa.

(b) Kufuata maelekezo yote yatakayotolewa na wasimamizi wa Mtihani.

(c) Kuandika namba ya Mtihani kwa usahihi.

(d) Kuhakikisha namba iliyoandikwa kwenye msimbomilia na namba ya Mtihani zinafanana.

(e) Kutofanya mawasiliano ya maneno au kwa njia yoyote baina ya watahiniwa.Ikiwa mtahiniwa ana tatizo anatakiwa kunyoosha mkono ili kuomba msaada kwamsimamizi wa Mtihani.

(f) Watakaojihusisha au watakaofanya udanganyifu watafutiwa matokeo yao yaMtihani.



KUPATA RATIBA NA MAELEKEZO BOFYA HAPA CHINI


PSLE_2021.pdf

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa