• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi


SEKSHENI YA KILIMO

Uzalishaji wa Mazao ya Chakula na Biashara kwa kipindi cha Miaka mitatu 2019/2020  2021/202.

Halmashauri ya Mji Tunduma ina jumla ya Watu Takribani 159,489 Wanao Hitaji Jumla ya Tani 47,882.4 za Mazao ya Chakula ya Nafaka na Tani 15,960.8 za mazao ya Mikunde kwa Mwaka, Katika kipindi cha miaka mitatu 2019/2020, 2020/2021 na 2021/2022 Halmashauri imeendelea kuzalisha kwa tija mazao ya chakula pamoja na biashara Hivyo Kujihakikishia usalama wa chakula na kukuza uchumi wa wananchi.

Jedwali Na 1:  Hali ya uzalishaji kwa mazao ya chakula na Biashara kwa mwaka 2019/2020 hadi 2021/2022


MAZAO YA CHAKULA (NAFAKA NA MIKUNDE)

ZAO
2019/2020
2020/2021
2021/2022
ENEO(HA)
UZALISHAIJI(TANI)
ENEO (HA)
UZALISHAJI (TANI)
ENEO (HA)
UZALISHAJI (TANI)
Mahindi
10,374.7
46,686
11,127.6
53,412.5
10,524
57,882
Mpunga
8.4
29.4
6
18
8
28
Mtama
24.3
21.87
37.3
29.84
35
35
Ulezi
27
27
44.9
40.40
37
37
Maharage
1012
607.44
747.1
373.55
500
300
Kunde
4.8
2.88
8.2
4.1
2
1.2
Njugu mawe
4
2.8
3.3
1.98
3
2.1
Jumla
11,455.2
47,377.39
11,974.4
53,880.37
11,109
58,285.3



MAZAO YA BIASHARA.








ZAO
2019/2020
2020/2021
2021/2022
ENEO(HA)
UZALISHAIJI(TANI)
ENEO (HA)
UZALISHAJI (TANI)
ENEO (HA)
UZALISHAJI (TANI)
Alizeti
296
177.6
210.2
336.32
135
202
Karanga
343.2
411.84
295.5
354.6
150
195
Soya
14.3
7.15
15
8.5
140
126
Jumla
653.5
596.59
520.7
699.42
425
523

 


Huduma za Ugani 

Halmashauri ya Mji Tunduma inahitaji Maafisa ugani 55 ili waweze kutoa huduma bora za ugani kwa wakulima. Watumishi waliopo ni 21 na upungufu ni 34, Halmashauri inaendelea kuomba kibali cha ajira ili kupunguza tatizo hili la upungufu wa maafisa ugani, aidha Halmashauri imefanikiwa kununua na Kuwapatia Maafisa Ugani Jumla ya Pikipiki 7.


Usambazaji wa Pembejeo za Kilimo 

Kwa msimu wa Mwaka 2021/2022 Halmashauri ya Mji Tunduma ilihitaji Tani 1,549 za mbolea za Kupandia, Tani 1,554 za Mbolea za kukuzia, Tani 1,434 za mbolea ya kuzalishia , Tani 279 za mbegu za Mahindi, Tani 0.3  za Mbegu za Mtama, Tani 2 za Mbegu ya za Mpunga, Tani 83 za Mbegu za Maharage na Tani 0.9 za Mbegu za Alizeti. Wadau mbalimbali wa Kilimo ikiwemo wauza Pembejeo waliendelea kuhamasishwa Kuagiza na Kuuza pembejeo za Kilimo zilizo Bora. Upatikanaji wa Pembejeo ulikua ni mzuri japo Mbolea za Viwandani zilikua zikiuzwa kwa Bei ghari, kati ya Tsh 110,000 hadi 120,000 kwa Mbolea ya Kupandia (DAP) na Tsh 100,000 hadi 105,000 kwa Mbolea ya Kukuzia kulinganisha na msimu wa 2020/2021, aidha Matumizi ya Mbolea ya Samadi yaliendelea kusisitizwa kwa Wakulima Ili kupunguza Gharama za uzalishaji.

Jedwali Na 2. Wastani wa Bei za Mbolea za Kupandia na Kukuzia Kwa Kipindi 2021/2022.


AINA YA MBOLEA
KILO 50(TSH)
KILO 25(TSH)
KILO 10(TSH)
KILO 5(TSH)

Chini
Juu
Chini
Juu
Chini
Juu
Chini
Juu
DAP
110,000
120,000
57,000
60,000
25,000
30,000
13,000
15,000
UREA
100,000
105,000
53,000
55,000
23,000
25,000
12,000
14,000





SEKSHENI YA MIFUGO

Halmashauri ya Mji Tunduma katika Seksheni ya mifugo imeendelea kutoa huduma za ugani kwa wafugaji ili kuongeza uzalishaji wa mifugo na mazao yake kwa kutoa chanjo za mifugo, kutoa elimu ya ufugaji wenye tija pamoja na matibabu ya mifugo kulingana na idadi ya maafisa ugani waliopo na vitendea kazi vilivyopo ambapo katika eneo lote la utekelezaji, Kata zilizo na mifugo mingi ni Chiwezi, Mpande, Mpemba, Katete na Chipaka.


IKAMA YA WATUMISHI KATIKA SEKSHENI YA MIFUGO NA UVUVI

NA.
IDADI YA MAAFISA MIFUGO NA UVUVI WALIOPO
MAHITAJI YA WATUMISHI
NGAZI YA ELIMU
IDADI 
NGAZI YA ELIMU
IDADI
1
Shahada ya uzamili
1
Shahada ya mifugo
2
2
Shahada (mifugo)
2
Shahada uvuvi
1
3
Stashahada (mifugo)
3
Shahada (Daktari mifugo)
1
4
Astashahada (uvuvi)
1
Stashahada (mifugo)
13
JUMLA
 
7
 
17


3.2 IDADI YA MIFUGO

AINA YA MIFUGO
Ng’ombe
Mbuzi
Kondoo
Kuku 
Nguruwe
Bata 
Sungura
Mbwa 
IDADI
Asili
Maziwa
Asili
Maziwa
306
Asili
Kisasa
1455
293
324
1598
4680
200
665
18
13989
8,926
JUMLA
4880
683
306
22,915
1455
293
324
1598



CHANJO ZILIZOTOLEWA KWA KIPINDI CHA MWAKA 2019/2022

Mwaka
Aina ya chanjo
Aina ya mfugo
Mwaka
Aina ya chanjo
Kuku
 
Ng’ombe
Mbuzi 
Kondoo 
 
2019
Kimeta
3,625
326
 
2019
Kideri
27,352
Ndui
19,921
Gumboro 
14,244
2020
 
 
 
 
2020
Kideri
31,579
Ndui
18,437
Gumboro 
13,119
2021
 
 
 
 
2021
Kideri
30,720
Ndui
16,501
Gumboro 
11,269
2022
Kimeta
4,132
512
 
2022
Kideri
34,820
Ndui
17,001
Gumboro 
12,129


 VIKUNDI VYA WAFUGAJI WA NG’OMBE WA MAZIWA, UNUNUZI NA UUZAJI WA NG’OMBE.

Katika Halmashauri ya Mji Tunduma, ufugaji wa ndani (Zero grazing) umekuwa ukisisitizwa kwa kiasi kikubwa ambapo utekelezaji wake unafanyika kwa kuunda vikundi vya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.

Hamashauri kwa kuona umuhimu wa ufugaji wa ndani na utunzaji wa mazingira, imekuwa ikiwezesha vikundi hivyo kwa kuwapatia mkopo kipitia 10% ya mapato ya ndani.

Vikundi hivyo ni kama ifuatavyo: -

NA
JINA LA KIKUNDI
MAHALI KILIPO
SHUGHULI WANAYOFANYA
KIASI CHA MIKOPO WALIOPATIWA
MAENDELEO YA KIKUNDI
1
Mkombozi vijana group
Mwakakati
Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa
19,000,000/=
Maendeleo ni mazuri
2
Chipaka group
Chipaka
Ufugaji wa kuku wa mayai
45,000,000/=
Maendeleo ni mazuri
3
Majimoto vijana group
Mpemba
Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa
25,000,000/=
Maendeleo ni mazuri
4
Mnadani group
Chiwezi
Ununuzi wa ng’ombe, unenepeshaji na uuzaji wa ng’ombe
35,000,000/=
Maendeleo ni mazuri
5
China Mwashilindi (mlemavu)
Makambini
Ununuzi wa uuzaji wa ng’ombe
9,428,000/=
Maendeleo ni mazuri
6
Mji mwema group
Mpande
Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa
15,000,000/=
Maendeleo ni mazuri




SEKSHENI YA UVUVI

Katika Halmashauri ya Mji Tunduma, shughuli za Uvuvi zimejikita zaidi katika biashara ya Samaki na dagaa wanatoka nje ya Mkoa wa Songwe.  Halmashauri katika kuwaweka pamoja wafanyabiashara wa Samaki na dagaa imetoa eneo katika kata ya Majengo na Kata ya Maporomoko ambayo bado yapo katika mpango wa kuelendelezwa.

 

ELIMU YA UFUGAJI WA SAMAKI

Elimu ya ufugaji bora wa Samaki na uchimbaji wa mabwawa ya kufugia samaki imeendelea kutolewa ambapo hadi kufikia sasa idadi ya mabwawa yaliyochimbwa na kupandikizwa Samaki ni mabwawa Matano (5).


IDADI YA MABWAWA, SAMAKI WALIOPANDIKIZWA NA MAHALI YALIPO

NA.
IDADI YA MABWAWA
MAHALI
AINA YA SAMAKI WALIOPANDIKIZWA
1.
2
Kaloleni
Perege
2.
2
Majengo
Perege
3.
1
Chapwa
Sato




MAFANIKIO KATIKA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA DIVISHENI YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.

Kwa kipindi cha Mwaka 2021/2022 Divisheni ya Kilimo Mifugo na Uvuvi imefanikiwa Kutekeleza Mambo yafuatayo

  • Ukarabati wa Soko la Mazao kwa Kumwaga zege barabara yenye Urefu wa Mita 250 na upana wa Mita 7 Kwa Thamani ya Tsh. 150,000,000/=
  • Kushiriki Maonyesho ya Nanenane Kitaifa katika Uwanja wa JohnMwakangale Mbeya na Kumpata Mshindi wa Kimkoa wa Kilimo cha zao la Mahindi ndugu Furaha Mwakambenga Mkulima Kutoka Kata ya Chiwezi.
  • Kusimamia Utekelezaji wa Malengo 2021/2022 ambapo Jumla ya Tani 57,945 za Mazao ya Chakula (Nafaka) Zimezalishwa na kuifanya Halmashauri kuwa na Ziada ya Chakula tani 10,006.
  • Upimaji wa Afya ya Udondo kwa Wakulima Ndani ya Kata za Uzalishaji.
  • Kutoa Elimu kwa Wakuliam Kupitia Mashamba Darasa, Jumla ya Mashamba Darasa 44 ya Mazao ya Soya, Mahindi na Alizeti yaliweza Kuandaliwa.
  • Katika Kuboresha Huduma za Ugani Halmashauri imefanikiwa kununu jumla ya Pikipiki 3 na kuzikabidhi kwa maafisa Ugani.
  • Ukarabati wa Machinjio ya Ng’ombe na Nguruwe jumla ya Tsh. 10,000,000/= Kutoka mapato ya Ndani zimeweza kutumika.
  • Udhibiti wa Magonjwa ya Mlipuko ikiwemo kimeta, Homa ya Nguruwe, Chambavu, kichaa cha Mbwa na Kideri/Mdondo kwa Mifugo.
  • Kuongezeka kwa Vikundi vya Vijana katika Shughuli za Uzalishaji za Kilimo na Mifugo kupitia 10%.

Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA VIONGOZI March 14, 2023
  • UTEUZI WA VIONGOZI March 15, 2023
  • UTEUZI NA KUBADILISHIWA VITUO KWA MAKATIBU TAWALA March 16, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • KUFIKA MWAKA 2025 TUNATAKA UNYWAJI WA MAZIWA TUNDUMA UFIKE 60% _MWALUKASA

    March 15, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 14, 2023
  • SIRI NDIO UHAI WA SERIKALI, EPUKENI KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTUMIANA TAARIFA ZA SERIKALI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • SITEGEMEI PIKIPIKI HIZI MWENDENAZO BAR _ DC LULANDALA

    March 11, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa