• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

ANAYESEMA SERIKALI HAIFANYI KAZI ANATAKIWA AKAPIMWE AKILI _ DC IRANDO

Imewekwa : May 23rd, 2018

ANAYESEMA SERIKALI YA AWAMU YA TANO HAIFANYI KAZI ANATAKIWA AKAPIMWE AKILI _ DC IRANDO

Mkuu wa Wilaya ya Momba Ndugu, Juma Said Irando, ameyasema hayo alipokuwa akikabidhi madawati, meza na Viti 200, kwa shule za msingi na sekondari zilizopo Halmashauri ya Mji wa Tunduma

“Serikali ya awamu ya tano inawajali na kuwatumikia wananchi na watoto wa masikini ndiomaana leo hii tunakabidhi madawati ikiwa ni jitihada za kumaliza tatizo la madawati katika shule zetu”.

“Ndiomaana nasema wanaoibeza na kuitukana serikali hii kuwa haifanyi kazi wanatakiwa wapelekwe Dodoma Hospitali ya Mirembe wakapimwe akili”

Baadhi ya wanafunzi wa shule za Tunduma walioshiriki makabidhiano ya Madawati

 

Awali, Mkurugenzi wa Mji wa Tunduma Bwana Kastori Msigala alimwelekeza mkuu wa Wilaya kuwa

Halmashauri ya Mji wa Tunduma inakabiliwa na tatizo la upungufu wa madawati, meza na viti, ambapo hupelekea kuwa na mazingira magumu ya kufundishia na kujifunzia, ambapo kwa upande wa Shule ya Msingi madawati mahitaji  ni 11,819 yaliyopo ni  6,003  upungufu ni 5,816. 

Kwa upande wa Sekondari mahitaji ya meza ni 5,043 yaliyopo ni 4232 upungufu ni 811, mahitaji 5,043 vilivyopo ni 3,852 upungufu 1,191.

Baada ya kuwa na changamoto ya upungufu wa samani za Shule Halmashauri kupitia vyanzo vyake vya ndani iliamua kuanzisha kiwanda kidogo cha utengenezaji wa samani za Shule ambazo zimesababishwa na ongezeko la idadi ya wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza na uandikishaji wa wanafunzi katika Shule za Msingi.

 

LENGO LA MRADI

Mpango wa utengenezaji wa madawati, meza na viti umeaandaliwa ili kuondokana na tatizo la upungufu wa samani za Shule, ikiwa ni lengo la kuboresha mazingira ya ufundishaji na ya kujifunzia sambamba na kuongeza kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi.

Baadhi ya madawati ya shule za Msingi za Tunduma yaliyozinduliwa na Mkuu wa Wlaya ya Momba


KAZI ZILIZOFANYIKA ZA UTENGENEZAJI WA SAMANI

Kutokana na mahitaji ya samani katika Shule za Msingi na Sekondari, Halmashauri imeweza kutekeleza kama ifuatavyo;

  • Halmashauri imefanikiwa kutengeneza madawati 777 kupitia kwa mafundi mbalimbali ikiwa (  Mpemba 237, Mwakakati 135, Chapwa 135, Katete 135 na Muungano 1 madawati 135)  yenye thamani ya shilingi 35,365,000/= Madawati 237 yaliyotengenezwa katika Shule ya Sekondari Mpemba yamegawanywa katika Shule za Namole 45, Mpemba 37, Mpakani 50, J.M Kikwete 50 na Mwl J.K Nyerere 50.
  • Utengenezaji wa meza 200 na viti 200 umefanyika kupitia kiwanda kidogo cha samani kilichoanzishwa ndani ya jengo la Halmashauri kwa kutumia ‘Force Account’ ambapo hadi sasa  zimetumika  shilingi 17,276,250/= mpaka sasa meza na viti vimekamilika.
  • Kwa upande wa Elimu Msingi  jumla ya madawati yanayotengenezwa ni 325, ambayo yatagharimu shilingi 10,000,000, mpaka sasa madawati yaliyokamilika ni 131( madawati madogo 71 na makubwa  60).

MANUFAA YA MRADI WA UTENGENEZAJI WA SAMANI ZA SHULE.

Baadhi ya meza na viti  vya shule za Sekondari vilivyozinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Momba


Katika kazi ya utengenezaji wa samani za Shule Halmashauri imeweza kunufaika kama ifuatavyo;

  • Gharama za utengenezaji wa meza na viti 200 ( Sekondari) vimetengenezwa kwa  shilingi 17,676,250/=  ikiwa thamani ya kiti na meza ni shilingi 88,381.25 wakati gharama ya sokoni ni shilingi 125,000/=(kiti ni 50,000/= na meza ni 75,000/=). Halmashauri  imeokoa shilingi 36,618.75 kwa seti ya kiti na meza sawa na shilingi 7, 323,750/= kwa seti 200.
  • Gharama ya utengenezaji wa madawati 325 ya Elimu Msingi ni shilingi 10,000,000/= ambayo hiyo pia sio gharama halisi kwa kuwa zilitumika mbao za Halmashauri zenye thamani ya shilingi 8,150,000/= Gharama  ya soko  ya dawati dogo  ni  shilingi 65,000/= na dawati kubwa  ni shilingi 95,000/=. Kutokana na gharama hizo, Halmashuri imeokoa jumla ya shilingi 17,100,000/=

Mwisho, tunakuomba ukabidhi meza 200 na viti 200 kwa shule ya Sekondari Mpemba na Madawati 131 kwa Shule za Msingi  8 ambayo kwa pamoja yanatarajiwa kudumu kwa miaka 15.


Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa