• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

BARAZA LA MADIWANI TUNDUMA LAMZAWADIA TUZO DIWANI BORA

Imewekwa : November 1st, 2022

Baraza la madiwani Tunduma lamtunuku cheti cha Pongezi Diwani wa Kata ya Chapwa kwa kujitolea na kusimamia miradi ya maendeleo

Cheti hicho kimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. Fack Lulandala kwa Mhe. Amos Jackson Siame Diwani wa kata ya chapwa kwa mchango wake mkubwa katika kusimamia miradi ya maendeleo

“Diwani Siame ni mchapakazi sana, na ninawapongeza sana madiwani wote wa Tunduma kila linapokuja suala la maendeleo wote mmekuwa kitu kimoja na ndiomaana leo Tunduma inakimbia kwa kasi katika maendeleo” alisema DC Lulandala

Ninawapongeza pia kwa mahusiano mazuri kati ya Baraza la Madiwani, Chama cha mapinduzi na Serikali nimazuri sana ninawashuku sana

Leo tunatoa cheti cha pongezi kwa Diwani wa kata ya chapwa kwa namna ambavyo ameshiriki katika kuhamasisha wananchi na kujitoa yeye mwenyewe katika ujenzi wa kituo cha Afya Chapwa. Mhe. Siame ametuonyesha dira kuwa ukiwa kiongozi unatakiwa kutangulia mbele ili wananchi wako wakufuate katika kutekeleza miradi ya maendeleo

“Kila tulipofika katika eneo la ujenzi wa kituo cha Afya chapwa viongozi mbalimbali wa chama na serikali toka ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa wamekuwa wakimpongeza Mhe. Amos Siame kwa Uchapakazi hodari na mwenye kujitoa kwa wananchi na kata yake, Hongera sana” _ DC Lulandala

Akiongea baada ya kupewa Cheti cha Pongezi Diwani wa Kata ya Chwapwa Mhe. Amos Siame amelishukuru sana Baraza la Madiwa la Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kuutambuia mchango wake katika kuwa mstari wa mbele kwenye miradi ya maendeleo

“Nimefurahi sana kuona madiwani wenzangu wameguswa na kujitoa kwangu katika miradi ya maendeleo hususani kituo cha Afya Chapwa ambacho kinajengwa kwa kutumia mapato ya ndani, haikuwa rahisi kuwaunganisha watu wenye vyama tofauti na itikadi tofauti na sote kuwa kitu kimoja katika kutekeleza miradi ya maendeleo. Sasa chapwa ni mpya na huu ni mwanzo tuu” alisema Mhe. Siame

Katika kutekeleza majukumu ya kila siku kuna watu amabao bado walikuwa hawaamini kama Kata ya Chapwa tutafanikiwa katika ujenzi wa kituo cha Afya leo wamekuwa mashuhuda kwa kila mtu kumbe tukiamua kwa pamoja tunawa

Mhe. Siame Amekuwa Diwani wa kwanza kutunukiwa cheti cha pongezi kwa kujitoa kwake katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri ya Mji Tunduma

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa