• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

CCM WARIDHISHWA NA MATUMIZI YA BILIONI 1.5 UJENZI WA SHULE NA MASOKO TUNDUMA

Imewekwa : January 5th, 2022

Halmashauri ya Mji Tunduma, Wilaya ya Momba, Mkoani Songwe, imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 1.507,936,715.62 kwa ajili ya ujenzi iliyotembelewa na kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi kwa kutumia fedha za mapato ya ndani.

Mkurugenzi wa Halmashauri Philemon Magesa aliwaeleza wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Momba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Twaha Maulid (Twist) waliofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri hiyo.

Magesa alisema kiasi hicho cha fedha zinazotumika katika utekelezaji wa miradi hiyo ni fedha za  makusanyo ya ndani kwa mwaka wa fedha wa 2021 hadi 2022 ambapo Halmashauri inategemea kukusanya kiasi cha shilingi Bilioni 5.6 

Akifafanua zaidi kuhusu miradi hiyo mbele ya wajumbe hao wa kamati ya Siasa ya Wilaya, Kaimu Mhandisi wa Halmashauri, Mhandisi Dickson Kisenime alisema kuwa  kiasi hicho cha fedha kimegawanywa katika miradi mitatu.

Aliitaja miradi hiyo na gharama zake kuwa ni  mradi wa Ujenzi  na Ukarabati wa maeneo ya wafanyabiashara wadogo (masoko)  katika mitaa ya Majengo, Maporomoko, Stend Kuu na Tazara unaogharimu kiasi cha shilingi milioni 451,808,211.62.

Mradi mwingini ni ujenzi wa kituo cha Afya cha Kata ya Chapwa ambacho gharama yake ni zaidi ya shilingi milioni 400, pamoja na mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi Haisoja iliyopo kata ya Sogea utakaogharimu kiasi cha shilingi milioni 656,128,04.2.

"Wajumbe wa kamati ya siasa katika mradi huu mnaona tupo kwenye hatua ya kutengeneza msingi ni ujenzi wa Ghorofa moja ambalo litakuwa na vyumba kumi, vitano na ofisi mbili chini na vyumba vitano na ofisi mbili juu lengo la kujenga ghorofa ni kuendana na hali ya upatikanaji wa ardhi katika mji wetu wa Tunduma" alifafanua Mhandisi Kisenime.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Momba, Mauld maarufu kama Twist alitumia nafasi hiyo kumshukuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma na timu yake kwa kazi nzuri  ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Halmashauri hiyo ya Mji Tunduma.

Alisema Kamati yake imeridhishwa na miradi yote waliyoitembelea na kuikagua na kusema italeta tija kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Tunduma  na Wilaya ya Momba.

"Ndugu zangu kamati yetu haikuja kutembelea miradi tuu bali kuja kufanya ukaguzi wa kina na tumeridhishwa na miradi yote" alisema Twist.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa