• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Chaurembo: Mpaka Juni 2024 Halmashauri Imehawilisha Bilioni 1.1

Imewekwa : October 23rd, 2024

Na Benton Nollo, TTC

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo amesema mpaka kufikia  Juni 2024, Halmashauri hiyo imefanikiwa kuhawilisha fedha shilingi bilioni 1.111 kati ya shilingi bilioni 1.136 zilizotolewa na Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwenye mitaa 69 yenye kaya maskini 647 katika madirisha 19 ya Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini ulioanza tarehe 10 Julai 2020.

Chaurembo ametoa ufafanuzi huo mara baada ya kuwasilishwa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko huo kwa Uongozi kutoka Makao Makuu ya TASAF ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi wa TASAF, Peter Ilomo ofisini kwake tarehe 23 Oktoba 2024.

Mkurugenzi huyo amesema kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025 Kaya 449 zinatarajiwa kunufaika na miradi 26 ya ajira za muda kwa kufanya kazi na kulipwa ujira ambapo miradi hiyo inatarajiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 101.2 ilhali kati ya fedha hizo shilingi milioni 80.8 zitatumika kulipa ujira Walengwa na shilingi milioni 20.4 zitatumika kununua vifaa.

Uongozi huo katika Halmashauri ya Mji Tunduma umemtembelea Mnufaika wa TASAF, Fainala Sichinga anayeishi Mtaa wa Nansele, Kata ya Mpemba ambaye kutokana na Mpango huo ameweza kununua na kufuga kuku na mbuzi wakati mkazi mwingine wa Mtaa huo, Grace Msukwa ambaye naye ni mnufaika wa Mpango ambapo yeye ameweza kuboresha makazi yake na kufuga mbuzi ambapo uongozi huo umeweza kujionea mafanikio hayo.

Pia, Uongozi huo wa TASAF Makao Makuu umetembelea Mtaa wa Mwakakati, Kata ya Mwakakati na kukutana na Kikundi cha Tubhagile kinachojihusisha na ufumaji wa mikeka na uuzaji wa mitandio.

Kikundi kingine katika Mtaa huo kilichotembelewa na Uongozi huo ni TUMWAFA ambacho chenyewe kinajihusisha na uwekaji wa akiba na kukopeshana ambapo mpaka sasa kina akiba ya shilingi milioni 1.5.

Uongozi wa TASAF Makao Makuu umeridhishwa na namna shughuli za Mpango huo zinavyotekelezwa katika Halmashauri ya Mji Tunduma na kuahidi kuzifanyia kazi kasoro zinazojitokeza ambazo zipo nje ya uwezo wa Halmashauri.

Matukio katika Picha:

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo akizungumza mara baada ya kuwasilishwa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF katika Halmashauri hiyo kwa Uongozi kutoka Makao Makuu ya TASAF ulioongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi wa TASAF, Peter Ilomo ofisini kwake tarehe 23 Oktoba 2024.

Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi wa TASAF, Peter Ilomo akizungumza ofisini kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma tarehe 23 Oktoba 2024 baada ya kutembelea Halmashauri hiyo akiwa ameambatana na Wataalam kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF Makao Makuu.













Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mei Mosi Songwe Yafana

    May 01, 2025
  • Chaurembo Awapongeza Walimu

    April 30, 2025
  • Tunduma kwa Taaluma Sina Mashaka Nanyi: RAS Seneda

    April 30, 2025
  • Chaurembo Afungua Mafunzo Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili

    April 29, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa