• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

DC LULANDALA AWAPA MACHINGA SIKU 3 KUHAMIA KWENYE SOKO LAO

Imewekwa : August 25th, 2023

Wafanyabiashara wa wadogo (machinga) ambao wanauza bidhaa zao kwenye hifadhi ya barabara wamepewa siku 3 kuanzia leo 16 Agosti 2023 hadi siku ya ijumaa wawe wamehamia kwenye soko la machinga lililopo stendi ya zamani ambalo limeandaliwa kwa ajili yao.


Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Fack Lulandala amesema zikipita siku 3 kazi ya kuhakikisha hakuna mfanyabiashara anapanga bidhaa zake barabarani iwe asubuhi, mchana au usiku itaanza na watakaokutwa watachukuliwa hatua kali.


Mhe. Fack Lulandala ametoa kauli hiyo baada ya wafanyabiashara wa soko la machinga kuandamana na kufunga barabara ya Tunduma-Sumbawanga na kuitaka Serikali kusimamia na kuwaondoa wafanyabiashara wenzao wanaouza kwenye masoko ambayo si rasmi tofauti na maelekezo ya Serikali ya hapo awali.


Kiingozi wa Machinga, Ndg. Jastini Kashililika amesema wameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kuona makubaliano yao kati ya Halmashauri na wamachinga ya kuwataka wafanyabiashara wote ambao wanaunza barabarani mwisho iwe tarehe 12 Agosti 2023 wote wawe wamehamia soko la machinga.


"Kuna watu wanaendelea biashara zao barabarani wakati Serikali ilikuwa na lengo la kutuondoa wote na kutuleta hapa barabarani sasa inakuwaje wengine wabaki, tunataka wote tuje hapa tufanye biashara kwa pamoja wote" Ndg. Jastini Kashililika.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mhe. Ayubu Mlimba amesema kuanzia kesho tarehe 17 Agosti atawaongoza madiwani wenzake kutoa elimu kwa wafanyabiashara wadogo ili kuwaandaa kuja katika soko la machinga.


Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mwanaisham Shemaghembe amesema Halmashauri itahakikisha inaongeza taa katika soko la machinga ili biashara ziweze kufanyika hadi midaa ya usiku pamoja na kumwagia maji katika eneo la soko na kuliweka sawa ili kuondo vyumba.


Mkuu wa Wilaya, Mhe. Fack Lulandala amesema kuanzia Jumatatu eneo la stendi ya zamani lilipo soko la machinga ndio kutakuwa kituo kikuuu kwa daladala ambazo zinafanya safari zake ndani ya Mji wa Tunduma.


Wakati huo huo, Mkuu wa Wilaya ameitaka LATRA na Polisi kupanga vizuri vituo vya kushuka na kupanda kwa daladala.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa