• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

DC Mwandobo Akutana, Wamiliki wa Maegesho

Imewekwa : April 16th, 2025

Benton Nollo na Atwiya Mohamed, TTC

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Elias Mwandobo amekutana na wamiliki wa maegesho ya magari tarehe 16 Aprili 2025 ili kujadili namna ya kuratibu malori na magari madogo yanayohitaji huduma ya maegesho wakati yakisubiri kuendelea na safari au kukamilisha taratibu za kiforodha katika mpaka wa Tunduma.

Akizungumza na wamiliki hao katika kikao kichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mhe. Mwandobo amesema kuwa haipendezi mji kuwa na maegesho halafu malori yanaegeshwa bila utaratibu pembezoni mwa Barabara ya Tanzania na Zambia - TANZAM jambo ambalo ni hatari kwa watumiaji wengine wa Barabara hiyo.

Aidha, alisisitiza kuwa Halmashauri kwa kushirikiana na wadau mbalimbali itakaa na kuratibu ni namna gani ya kufanya ili huduma za maegesho ziwe na faida kwa Wananchi na Halmashauri iweze kupata mapato.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mariam Chaurembo amesema ifikapo Julai 2025 utaratibu wa maegesho utakuwa wa kulipia kwa gari moja kwa siku ambapo wamiliki wa maegesho watatakiwa kulipa tozo kutokana na idadi ya magari yaliyoegeshwa katika maegesho husika kwa siku.

Amewasisitiza Wamiliki wa maegesho ya magari kuzingatia suala la usafi katika maegesho yao liwe ni kipaumbele namba moja ili kuweka Mji safi na salama, ikiwa ni pamoja na kuweka Huduma ya Kwanza (First aid kit) ili iwe msaada kwa madereva wanaopaki kwenye maegesho yao.

 Aidha, ametoa rai wamiliki wa maegesho kuwa si salama kiafya kwa madereva kulala ndani ya magari yaliyoegeshwa katika maegesho yao na hivyo waone namna bora ya madereva kupata hifadhi.

Matukio katika Picha:





Matangazo

  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • DC Mwandobo Akutana, Wamiliki wa Maegesho

    April 16, 2025
  • Vyombo vya Ulinzi, Usalama Vyaimarisha Ushirikiano

    April 16, 2025
  • TAMISEMI Yaomba Trilioni 11.8 Bajeti ya 2025/2026

    April 16, 2025
  • Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa na Serikali Kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi

    April 11, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa