• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

DC Mwandobo Akabidhi Vifaa vya Ufundi

Imewekwa : May 15th, 2025

Na Benton Nollo, TTC

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Elias Mwandobo amekabidhi vifaa vya ufundi na mahitaji ya shule kwa vijana rika barehe na Wanafunzi waishio mazingira magumu katika Halmashauri ya Mji Tunduma vyenye thamani ya shilingi milioni 44.1 kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Shule ya Msingi Katete tarehe 15 Mei 2025.

Kati ya fedha hizo, hivi karibuni Halmashauri hiyo kupitia Programu ya IPOSA inayofadhiliwa na Shirika la UNICEF ilipokea vifaa vya ufundi vyenye thamani ya shilingi milioni 27.1 kwa ajili ya vijana 97 waliopo katika vituo viwili vya Shule ya Msingi Katete (vijana 58 ambapo wasichana ni 38 na wavulana ni 20) na Shule ya Msingi Tunduma (vijana 39, wasichana 35 na wavulana 4).

Ambapo kupitia Programu hiyo, kozi za ufundi wafakazojifunza zitatolewa bure ambazo ni ushonaji, ufundi umeme, Kompyuta, kilimo, ufugaji kuku, ususi, uashi pamoja na utengenezaji batiki na sabuni.

Pia, Shirika la ADP Mbozi kupitia Programu ya Kizazi Hodari nalo limeleta mahitaji ya shule kwa Wanafunzi waishio mazingira magumu vyenye thamani ya shilingi milioni 16.9 ikiwa ni madaftari 34,300, kalamu 28,000 na taulo za kike 5,520.

Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kushirikiana na Shirika la UNICEF inaendelea na Kampeni ya Uhamasishaji wa kuwarudisha Shule Watoto walioacha au ambao hawajaandikishwa shule.

Ikiwa kuna Watoto ambao hawajaandikishwa shule na umri wao ni mkubwa kuanzia miaka 8 hadi 12, watoto hao wataandikishwa kupitia Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Waliokosa (MEMKWA).

Kadhalika, kwa watoto walioacha shule kupitia Kampeni hiyo watatakiwa kurudi shule bila masharti yoyote ili kuendelea na masomo yao.

Hata hivyo, kwa vijana rika barehe ambao walishamaliza Elimu ya Msingi na Sekondari na wapo tu nyumbani wanahamasishwa kujiunga na mafunzo ya ufundi kupitia Programu ya IPOSA inayofadhiliwa na Shirika la UNICEF.

Matukio katika Picha:

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Elias Mwandobo akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya ufundi na mahitaji ya shule kwa vijana rika barehe na Wanafunzi waishio mazingira magumu katika Halmashauri ya Mji Tunduma vyenye thamani ya shilingi milioni 44.1, iliyofanyika katika Shule ya Msingi Katete tarehe 15 Mei 2025.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Maonesho ya Fani za Ndani Yafana

    May 26, 2025
  • Mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Songwe Rarindima

    May 26, 2025
  • Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Wawasili Tunduma

    May 26, 2025
  • 'Hii Tunashinda kwa Kishindo'

    May 25, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa