• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

HONGERENI TUNDUMA UJENZI WA SHULE YA KISASA YA MFANO_DK. MSONDE

Imewekwa : September 9th, 2022

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dk. Charles Msonde leo Septemba 9 amefanya ziara katika Halmashauri ya Mji Tunduma ya kukagua ujenzi wa Shule ya Mkoa ya Wasichana, Namole iliyopo kata ya Chiwezi

Dk. Msonde alieleza kuwa Kutokana na agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan la Kujenga Shule ya wasichana ya Bweni kwa kila Mkoa, anaupongeza uongozi wa Mkoa wa Songwe kwa kutii agizo hilo na kuamua kutenga eneo Mtaa wa Namole kata ya Chiwezi  katika Halmashauri ya Mji Tunduma kwaajili ya ujenzi wa mradi huo ambao tayari unaendelea kutekelezwa

Mkoa wa Songwe ni miongoni mwa Mikoa kumi iliyopewa fedha kwaajili ya ujenzi wa Shule ya kitaifa ambapo tayari fedha za kuimarisha miundombinu ya shule hiyo kiasi cha shilingi bilioni tatu kati ya Bilioni nne zimetolewa na Serikali kupitia ofisi ya Rais TAMISEMI kama ilivyoelekezwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Aidha Dk. Msonde aliendela kusema jambo lililomfanya kufika Songwe ni kuja kuona ujenzi wa shule ya Kisasa ambapo Halmashauri ya Mji Tunduma ilipeleka maombi Ofisi ya Rais TAMISEMI la kuongeza fedha kutoka mapato ya ndani na kuamua kujenga Shule ya Ghorofa tofauti na Mikoa mingine iliyopewa fedha kwa ajili ya ujenzi wa aina hiyo

 “Nimekuja kuona hayo Maghorofa ni yapi yanajengwa, yana uimara gani, yanajengwa vipi na je yatakamilika kwa wakati?”

Baada ya kujiridhisha na ujenzi huo unavyoendela Dk. Msonde ameupongeza sana uongozi wa Halmashauri ya Mji Tunduma na Mkoa wa Songwe kwa ujumla kwa hatua nzuri zilizofikiwa katika ujenzi huo.

“Nipende kukupongeza Msimamizi wa Mradi huu Mhandisi Dickson Kisenime kwa kazi kubwa na nzuri unayofanya ya usimamizi wa mradi pamoja na wasaidizi wako kwani kazi yenu inaonekana bora maana mmepambana na miamba lakini mmeiweza na kuhakikisha ujenzi unendelea eneo hili na mimi nimefurahi sana kwani kuwepo kwa miamba hiyo kutafanya Ghorofa kuwa imara, hongera sana”

Pia Dk. Msonde amesema atampelekea salamu Waziri wa OR – TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa na atamuomba ikimpendeza yeye mwenyewe aje aifungue shule hiyo ya Mfano ya Ghorofa mwezi Novemba itakapokuwa imekamilika na Kudahili wanafunzi ifikapo mwezi Januari kama inavyotarajiwa na Serikali.

Mwisho Naibu Katibu Mkuu OR - TAMISEMI Dk. Msonde alishiriki ujenzi katika moja ya majengo yanayoendela kujengwa kama kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Halmashauri ya Mji Tunduma

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa