• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

KIJANISHA TUNDUMA KWA UMOJA NA MSHIKAMANO

Imewekwa : December 2nd, 2022

Halmashauri ya Mji Tunduma ipo katika harakati za kuifanya Tunduma kuwa ya kijani kwa kuanzisha kampeni ya kupanda miti kila kaya na taasisi zote ndani ya Mji wa Tunduma

Katika kutekeleza adhima hii ya kuifanya Tunduma kuwa ya Kijani kuna kaulimbiu inayolenga kuongeza ari na morali kwa wananchi wote wa Tunduma katika kuunga mkono zoezi hili la kupanda miti

Kauli mbiu inasema “Kijanisha Tunduma kwa Umoja na Mshikamano” kaulimbiu hii ni mahususi kwa ajili ya kuifanya Tunduma kuwa mahali sahihi yenye miti mingi ya vivuli na matunda

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Philemon Magesa amesema Tunduma imejipanga katika kuhakikisha inakuwa tofauti na ilivyo sasa kwani vimbunga na upepo mkali umekuwa ukiikumba Tunduma mara kwa mara

“Matarajio yetu baada ya miaka mitano ni kuiona Tunduma ya kijani, tumeamua sisi kama Halmashauri kuzalisha miche ya miti Milioni mbili (2,000,000) na kuigawa bure katika Taasisi za umma na wananchi wote. Miti hii itakuwa inapatikana katika vituo mbalimbali ndani ya Mji wa Tunduma ikiwemo Kitalu cha Halmashauri kitichopo DANIDA, Shule za Sekondari na Msingi Pamoja na Ofisi za Watendaji wa Kata” alisema Mkurugenzi Magesa

Katika Hatua ya kuhakikishi miti iliyozalishwa na Halmashauri inatunza na wanachi ambao wanapewa bure Mkurugenzi Magesa ameleza kuwa Afisa Maliasili na Utalii Pamoja na watumishi wa kitengo hicho wapo mtaani kila siku wakielekea jinsi ya kupanda na kutunza Miti kitaalamu ili hata kipindi cha kiangazi miti isikauke kwa jua

Kwa upande wake Kaimu Mkuu wa kitengo cha Maliasili na Utalii Zawadi Mwapashe alieza kuwa anawaelekeza wananchi kutumia mfumo wa kisasa kabisa katika upandaji na utunzaji wa mazinga

“Mfumo unaotumika ni umwagiliaji wa matone (Drip Irrigation) na hii itasaidia mti usikauke na unatumia maji kidigo kwani ikitumiwa vizuri inaweza kutumia lita 1 ya maji kwa siku 3 hivyo kufanya ndoo ya lita 10 kutumika kwa mwezi mmoja” alisisitiza Mwampashe

Afisa Maliasili na Utalii aliendelea kueleza kuwa katika kampeni hii elimu kubwa inatolewa kwa wananfunzi wa shule za Mji wa Tunduma ili kuweza kusambaa kwa haraka kwani Watoto wakirudi nyumbani ni rahisi kuwaelekeza wazazi kitu walichofundishwa shuleni juu ya upandaji miti

“Katika zoezi hili tunatoa elimu ya kutengeneza vitalu kila shule lengo likiwa ni kuwafanya wanafunzi wajue njia za upandaji a utunzaji wa miti, hii sio tuu kwa ajili ya Kijanisha Tunduma bali hata kwa ajili ya kujipatia Ajira kwani mwanafunzi akielewa anaweza kuanzisha kitalu chake nyumbani na kuuza miche ya kivuli na matunduma” alisema Mwampashe

Mkoa wa Songwe ulipanga kila Halmashauri kupanda miti milioni moja laki tano (1,500,000) lakini Halmashauri ya Mji Tunduma imeamua kuanda miti milioni mbili (2,000,0000 kutokana na Umuhimu wa kuibadilisha Tunduma na kuwa ya Kijani

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Maonesho ya Fani za Ndani Yafana

    May 26, 2025
  • Mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Songwe Rarindima

    May 26, 2025
  • Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Wawasili Tunduma

    May 26, 2025
  • 'Hii Tunashinda kwa Kishindo'

    May 25, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa