• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Kikao cha PHC Chafanyika

Imewekwa : April 16th, 2025

Atwiya Mohamed na Silvesta Mtafya, TTC

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Elias Mwandobo ameongoza kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi - PHC kilichoketi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji Tunduma tarehe 16 Aprili 2025 kwa ajili ya kujadili mikakati ya zoezi la kitaifa la utoaji wa Dozi ya Nyongeza ya Chanjo ya Sindano ya Polio - IPV2 ambalo linatarajiwa kuanza tarehe 1 Mei 2025.

Mhe. Mwandobo amewapongeza Wajumbe wa Kamati ya Chanjo ya Halmashauri kwa juhudi na mafanikio makubwa katika kuhakikisha watoto wanapata huduma muhimu za chanjo.

Mkuu huyo wa Wilaya amesema kuwa mafanikio yaliyopatikana hadi sasa ni matokeo ya ushirikiano madhubuti kati ya wataalamu wa afya, viongozi dini, viongozi wa jamii na wadau mbalimbali.

Amesisitiza kuwa nyongeza ya dozi ya pili ya chanjo ya polio ya sindano - IPV2 ni hatua muhimu katika kuimarisha kinga kwa watoto dhidi ya ugonjwa hatari wa Polio.

Chanjo ya OPV hutolewa kwa watoto mara tu wanapozaliwa, na kuendelea kutolewa wanapofikisha umri wa wiki 6, 10 na 14. Kwa sasa Chanjo ya IPV hutolewa kwa watoto wakiwa na umri wa wiki 14.

Hivyo, kwa lengo la kuimarisha kinga dhidi ya Ugonjwa wa Polio nchini, watoto wote nchini wataanza kupatiwa dozi ya pili ya Chanjo ya Polio ya IPV2 wanapofikisha miezi 9.

Ili kufanikisha zoezi hilo kwa ufanisi Wajumbe wamekubaliana kuimarisha zaidi uhamasishaji, ufuatiliaji na usimamizi wa utoaji wa chanjo hiyo ili kuhakikisha hakuna mtoto anayekosa huduma hiyo muhimu.

Matukio katika Picha:

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Elias Mwandobo akiongoza kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi - PHC kilichoketi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji Tunduma tarehe 16 Aprili 2025 kwa ajili ya kujadili mikakati ya zoezi la kitaifa la utoaji wa Dozi ya Nyongeza ya Chanjo ya Sindano ya Polio - IPV2 ambalo linatarajiwa kuanza tarehe 1 Mei 2025.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma akizungumza wakati wa kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi - PHC kilichoketi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji Tunduma tarehe 16 Aprili 2025 kwa ajili ya kujadili mikakati ya zoezi la kitaifa la utoaji wa Dozi ya Nyongeza ya Chanjo ya Sindano ya Polio - IPV2 ambalo linatarajiwa kuanza tarehe 1 Mei 2025.

Matukio katika picha wakati wa kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi - PHC kilichoketi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji Tunduma tarehe 16 Aprili 2025 kwa ajili ya kujadili mikakati ya zoezi la kitaifa la utoaji wa Dozi ya Nyongeza ya Chanjo ya Sindano ya Polio - IPV2 ambalo linatarajiwa kuanza tarehe 1 Mei 2025.


Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa