• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

KINANA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO TUNDUMA

Imewekwa : July 27th, 2022

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Abdulrahman Kinana leo Julai 27 amewasiri katika viwanja vya Halmashauri ya mji Tunduma kwa lengo la kuzugumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM sambamba na zoezi la ukaguzi wa miradi ya maendeleo kikiwemo Kituo cha afya katika kata ya Chapwa Tunduma na miradi mbalimbali katika Wilaya ya Momba kwa ujumla.

Mapokezi ya msafara huo yalikuwa makubwa kwani wanachama wazalendo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walionekana kufurahishwa na tukio hilo la makamu mwenyekiti wa chama hicho kwa kuacha shughuli zake na kuamua kuja katika Halmashauri ya Tunduma kuzungumza na wanachama wake.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo mara tu alipofika katika eneo la mradi wa Kituo cha afya kilichopo kata ya Chapwa Tunduma Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi aliupongeza Uongozi wa Halmashauri ya Mji Tunduma na Wananchi kwa namna walivyo shiriki kikamilifu katika ujenzi wa mradi huo pamoja na mingineyo iliyotajwa na Mbunge wa Jimbo hilo na kuwaomba wananchi wasichoke kutoa ushirikiano kwa viongozi wao pale wanapohitaji ushirikiano wao kwani Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inatekeleza yale iliyo yaahidi kwa wananchi wake.

Upande wake Naibu Waziri ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Tunduma Mhe. David Silinde aliongeza kwa kuishukuru serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Jimbo lake

Pia alisema kuwa Halmashauri ya Tunduma imefanikiwa kujenga shule za sekondari zaidi ya moja katika kila kata na shule mojawapo imejengwa kwa takribani shilingi Billion moja, pamoja na Ujenzi wa vituo vitano vya afya katika kata ya Chawa, Mpemba, Mwakakati, Chipaka na Chiwezi vingine bado vikiwa bado vinaendelea kumalizika.  

Sambamba na hilo Halmashauri ya Mji Tunduma imekamilisha ujenzi wa mabweni ya shule za msingi likiwemo bweni la Walemavu katika Shule ya Msingi Tunduma na Shule ya Msingi Katete sambamba na ujenzi wa madarasa katika shule za Msingi na Sekondari.

Naye Diwani wa kata ya Chapwa Amos Siame alipata nafasi ya kuzungumza ambapo alianza kwa  kuishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa mchango mkubwa iliyotoa kufanikisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyokamilika na inayoendelea kutekelezwa.

Pia aliwataka wananchi wa Tunduma kuendelea kuiamini serikali na viongozi waliowachagua kuwatimizia mahitaji yao kwani wanafanya yale waliyoagizwa na wananchi na si kwa matakwa yao.




Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa