• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

KUOKOA MAISHA YA WANADAMU NI KUJIWEKEA THAWABU KWA MWENYEZI MUNGU _ Sheikh Mkuu

Imewekwa : November 4th, 2022

Sheikh Husein Isa Batuza Sheikh wa Mkoa wa Songwe alihamasisha waumini kujitolea damu siku ya Ijumaa 04 Novemba 2022, akiongea juu ya waumini kujitolea damu alisistiza umuhimu wa kujitolea damu kwa ajili ya mahitaji mbali mbali yakiwemo akina mama wanaojifungua waathirika wa ajali mbali mbali na wagonjwa

“Ninawaasa ndugu zangu Waislamu juu ya kujitolea damu kwa ajili ya kuokoa Maisha ya ndugu zetu wengi wenye matatizo mbalimbali, kufanya hivi ni kupata thawabu mbele za Mwenyezi Mungu” alisema Sheikh Batuza

Mtaalamu wa maabara kutoka kituo cha Afya Tunduma Charle Karasa aliwaambia waumini wa Kiislamu kwamba hakuna kiwanda cha damu duniani isipokuwa kiwanda cha damu ni Binadamu mwenyewe na wala sio mnyama wa kufugwa au mnyama wa porini wala sio ndege wa kufugwa au ndege wa porini na wala sio samaki au mnyama wa baharini kwa sababu hao wote damu zao haziingiliani na damu ya binadamu

Bwana Charles alitoa elimu hiyo na kuwaomba watu kujitolea damu ili kunusuru wahanga mbali mbali wakiwemo akina mama wanaojifungua wakati wanapohitaji kuongezewa damu


“Ninawashukuru sana waumini wote kwa kuuona umuhimu huu wa kujitolea damu kwa ajili ya kuokoa Maisha ya wanadamu wengi, kufanya hivi ni kunusuru vifo vingi hususani kina mama wajawazito na Watoto” alisema Mtaalamu Charles

Nae Mjumbe wa Baraza la Masheikh Wilaya ya Momba Sheikh Abdulah Alito aliwapongeza sana waumini kwa majitoleo yao ya damu katika kuokoa Maisha ya wanadamu hapa Tunduma. Shekh Alito alisema baada ya kupokea barua toka Kituo cha Afya Tunduma inayomba uhamasishaji wa kuchangia Damu, Uongozi wa kiislamu ulikubali na kuwaomba waje tarehe 04 Novemba kwa ajili ya zoezi hilo.

“Tumeomba wataalamu hawa wad amu salama waje tena Ijumaa tarehe 12 Nobemba 2022 kwani tunaendelea kutoa hamasa kwa waumini wetu na wengine ambao hawakufika leo ili tuchangie damu kwa wingi Zaidi nia yetu ni kuokoa Maisha ya Binadamu wenzetu hususani kinamama wajawazito na Watoto” alisema Sheikh Alito

Kutoka Ustawi wa jamii Tunduma ndugu Frida Herman Msuya akiongea na waumini akina mama wa Msikiti Mkuu Masjid Jamaa (BAKWATA) Tunduma alisisitiza umuhimu wa kujitolea damu kwa sababu wahitaji wakuu wa kwanza wa kuongezewa damu ni akina mama wenyewe wakati wa kujifungua na waathirika wa majanga mbali mbali ambapo akina mama na watoto ni wahanga namba moja

“Nawaomba sana zoezi la kujitolea damu kwetu liwe endelevu kwa sababu hakuna kiwanda cha kutengeneza damu duniani hivyo viwanda hivyo ni sisi wenyewe binadamu, na ukijitolea damu ujue umejiwekea Hazina yako muda wowote kwani majanga huwa hayana hodi” alisisitiza Bi. Frida

Waumini mbali mbali walijitolea damu baada ya elimu kutolewa na waumini kuelimika juu ya umuhimu wa kujitolea damu

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 January 23, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Waziri Aweso Aagiza Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa Kukamilika kwa Wakati

    March 20, 2025
  • 'Ahadi Imetimia, Bilioni 119.9 Kutumika Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa'

    May 20, 2025
  • Wananchi Wanatarajia Uongozi Bora Kutoka Kwenu: DC Mwandobo

    March 05, 2025
  • Tusisahau Tulikotoka: TD Chaurembo

    March 05, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa