• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

LISHE BORA NI MSINGI WA AFYA KWA WANANCHI WA TUNDUMA_DC LULANDALA

Imewekwa : November 5th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. Fack Lulandala ameyasema hayo wakati akitia saini  Mkataba wa Lishe na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Philemon Magesa na Watendaji wa kata zote za Tunduma

Pia Mhe. Lulandala alisema kwa hali ya kawaida tutakuwa tunachekesha katika taifa kuwa Halmashauri ya Mji Tunduma tunakuwa na Lishe duni wakati kila aina ya chakula ipo na wananchi wake wanaweza kupata chakula bila shida tofauti na maeneo mengine

Malengo makuu ya mkataba wa lishe ni;

  • Lengo kubwa ni kufanikisha suala la kuboresha hali ya lishe na kupunguza athari za utapiamlo katika Wilaya.
  • Kuhakikisha kuwa Halmashauri inasimamia ipasavyo utekelezaji wa  afua za lishe. 
  • Kuchukua hatua madhubuti za kupunguza hali duni ya lishe katika Mkoa.
  • Kupanga, kutenga na kutoa fedha zote kwa ajili ya kutekeleza afua za lishe katika mipango ya Wilaya na Halmashauri kwa mujibu wa miongozo na maelekezo ya Serikali.
  • Kutoa taarifa ya utekelezaji kila robo mwaka kwa mujibu wa utaratibu uliowekwa.

Vipaumbele vya Halmashauri katika Afua za lishe ni;

  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa fedha kwa ajili ya afua za lishe zinapangwa, zinatengwa na kutolewa ndani ya Halmashauri kwa mujibu wa miongozo iliyopo.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa fedha zilizotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa afua za lishe zinatumika kama ilivyopangwa.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa kunakuwepo na Mpango Jumuishi wa Lishe katika Idara zote ndani ya Mkoa na Halmashauri.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa watoto wenye umri kuanzia miezi 6 hadi miaka 5 wanapatiwa nyongeza ya matone ya Vitamini A kwa mujibu wa utaratibu.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa Wanawake wajawazito wanapatiwa vidonge vya Madini Chuma na Vitamini ya Foliki Asidi kwa mujibu wa utaratibu.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa akinamama wenye watoto walio na umri chini ya miezi 6 wanapatiwa elimu ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama pekee kwa muda wa miezi 6.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa akinamama wenye watoto walio na umri wa miezi 6 hadi miaka 2 wanapatiwa elimu ya ulishaji wa vyakula vya nyongeza.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa watoto wenye utapiamlo mkali wanapatiwa matibabu katika vituo vya kutolea huduma za afya pindi wanapogundulika.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa Vikao vya Kamati za Lishe za Halmashauri zinafanyika chini ya Usimamizi wa Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ngazi ya Halmashauri.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa ukaguzi wa ubora wa chakula, dawa pamoja na upimaji wa uwepo wa Madini Joto kwenye Chumvi unafanyika katika maeneo yenu kwa mujibu wa utaratibu.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa shule za Msingi na Sekondari zinatoa chakula kwa wanafunzi kwa mujibu wa mwongozo.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa Siku ya Afya na Lishe ya Kijiji/Mtaa inaadhimishwa katika maeneo yenu kwa mujibu wa mwongozo.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa chumvi zinazozalishwa na kuliwa katika maeneo yote zinawekewa au kuwa na madini joto ili kuzuia na kudhibiti magonjwa yatokanayo na upungufu wa madini joto mwilini.
  • Kusimamia na kuhakikisha ufuatiliaji, usimamizi na tathmini ya utekelezaji wa Afua za Lishe unafanyika kwa mujibu wa miongozo.

Naye Afisa Lishe wa Halmashauri ya Mji Tunduma alisema Halmashauri inakabiliwa na changamoto ya hali ya lishe duni. Kulingana na takwimu za kitaifa zinaonyesha kua hali ya udumavu kwa mkoa wa Songwe ni 43.3%, ambayo kimsingi ni kiashiria cha uwepo wa utapiamlo kwa kiwango kikubwa.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Ndugu Philemon Magesa amesema kuwa Halmashauri tayari ina sheria ya chakula katika shule zote hivyo kuanzia mwezi januari shule zote zitakuwa zinatoa chakula ili kukabiliana na swala la lishe duni kwa Watoto

“Kwa kusaini mikataba hii ni imaniyangu kuwa itaongeza chachu na ari ya kupambana na lishe duni pia kusimamia makubaliano ya kutoa elimu kwa wananchi ili wawe na uelewa juu ya lishe” alisema Mkurugenzi Magesa

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 January 23, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Waziri Aweso Aagiza Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa Kukamilika kwa Wakati

    March 20, 2025
  • 'Ahadi Imetimia, Bilioni 119.9 Kutumika Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa'

    May 20, 2025
  • Wananchi Wanatarajia Uongozi Bora Kutoka Kwenu: DC Mwandobo

    March 05, 2025
  • Tusisahau Tulikotoka: TD Chaurembo

    March 05, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa