• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Wawasili Tunduma

Imewekwa : May 26th, 2025

Atwiya Mohamed na Silvesta Mtafya, TTC

Halmashauri ya Mji Tunduma tarehe 26 Mei 2025 imepokea Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia sita ambalo watakuwepo katika Hospitali ya Mji Tunduma iliyopo Mpemba ikiwa ni kambi maalum kwa ajili ya kutoa huduma ya matibabu ya kibingwa kwa Wananchi wa Tunduma kuanzia tarehe 26 hadi tarehe 31 Mei 2025.

Akizungumza wakati wa mapokezi ya Madaktari hao Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Wakili Glory Mlimba amesema ujio wa Madaktari hao ni faraja kubwa kwa Wananchi kwani Serikali imewasogezea huduma hiyo muhimu ambapo pia pamoja na kutoa huduma ujio wa Madaktari hao utasaidia kuwaongezea ujuzi Madaktari waliopo katika Hospitali hiyo.

“Nitumie nafasi hii kutoa wito na kuwakaribisha Wananchi wote wa Halmashauri ya Mji Tunduma kujitokeza kwa wingi kutumia fursa hii kupata huduma za kibingwa ambazo zitatolewa katika Hospitali yetu ya Mji iliyopo pale Mpemba.” Amesema Wakili Mlimba. 

Naye, Kiongozi wa Timu ya Madaktari hao, Daktari Mkunga Mbobezi, Dkt. Mary Sapali amesisitiza wakazi wa Mji wa Tunduma wanajitokeza kwa wingi ili kuweza kufaidika na uwepo wa Madaktari hao kwani ni fursa muhimu nay a kipekee.

Kambi hii ya Madaktari bingwa inafanyika katika Halmashauri hiyo kwa mara ya tatu ikiwa ni mfululizo wa utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Suluhu ya kuhakikisha Wananchi wanasogezewa huduma bora za afya katika maeneo yao ili wasitumie gharama kubwa na umbali mrefu kufuata huduma hizo.

Huduma za kibingwa zitakazotolewa na Madaktari hao ni pamoja na magonjwa ya wanawake, magonjwa ya watoto, upasuaji, mfumo wa mkojo, Usingizi na ganzi, magonjwa ya ndani, afya ya kinywa na meno pamoja na mifupa na ajali.

Matukio katika Picha:

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Maonesho ya Fani za Ndani Yafana

    May 26, 2025
  • Mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Songwe Rarindima

    May 26, 2025
  • Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Wawasili Tunduma

    May 26, 2025
  • 'Hii Tunashinda kwa Kishindo'

    May 25, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa