• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MAMA SAMIA AENDELEA KUTOA VIFAA TIBA VYA KISASA TUNDUMA

Imewekwa : March 10th, 2023

Sekta ya Afya inazidi kuimalika katika Mji wa Tunduma ambapo baada ya ujenzi wa Hospitali ya Mji awamu ya kwanza kukamilika yaani huduma za wagonjwa wa nje (OPD) sasa ni zamu ya Vifaa tiba ambavyo vinaendelea kuletwa na serikali ya awamu ya sita

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Philemon Magesa amewataka watumishi wa Afya kuvitunza vifaa tiba vyote vinavyotolewa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mkurugenzi Magesa ameyasema hayo wakati akishuhudia zoezi la uunganishaji wa vifaa vipya vya Kutambua Ugonjwa kwa mgonjwa ambaye hawezi kuongea (Mahututi) vifaa hivyo kitaalamu vinaitwa (Patient Monitor) kifaa cha kufuatilia hali ya Mgonjwa

Amesema kwamba maelekezo yote yanayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tamzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na serikali yake kuhusu huduma za Afya kwa wananchi yanatakiwa kuzingatiwa kwa weledi mkubwa ndio maana Rais analeta vifaa tiba ili wananchi wapate huduma bora.

"Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia kwa upande wa huduma za afya inajikita kwenye ubora wa huduma hivyo vifaa tiba hivi mnatakiwa kuvitunza vizuri ili viweze kutimiza malengo ya kuwatibu wagonjwa” alisema Mkurugenzi Magesa

Naye Mganga mkuu wa Halmashauri ya Mji Tunduma Dkt. Enock Mwambalaswa amemuahidi Mkurugenzi kuwa atahakikisha wataalamu walio chini yake wanatumia vifaa tiba kwa ajili ya kuwatibu wagonjwa kama lengo la serikali na matakwa ya kazi yanavyowataka

“Vifaa hivi tunajua serikali imetumia gharama kubwa sana kuvinunua na kuamua kuvileta katika Hospitali yetu ya Mji wa Tunduma kwa nia ya kuokoa watu wengi ikizingatiwa hapa Tunduma ni Mpakani hivyo tutavitunza  na kuvitumia kwa weledi mkubwa ili vitoe matunda tarajiwa” alisema Dkt. Mwambalaswa

Serikali imeleta Patient Monitor 06 katika Hospitali ya Mji Tunduma kwa lengo la kuboresha huduma za mpakani kwani Tunduma ndio lango kuu la SADC

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa