• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MIKATABA YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI MOJA YASAINIWA TUNDUMA

Imewekwa : July 23rd, 2023

Na William Maganga - Tunduma TC

Halmashauri ya Mji Tunduma imesaini mkataba wa Tsh. 1,036,169,305 kwa lengo la kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwemo uchongaji wa Madirisha na Samani za Ofisi za Shule ya Sekondari DKT. SAMIA S. H. na ujenzi wa Madarasa katika Shule ya Sekondari Tunduma TC

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tunduma Mhe. Ayubu Mlimba amewataka mafundi waitumie vema nafasi hii na kuonyesha umahiri wa kazi zao kwa weledi kwani watakapo fanya vibaya hawatakuwa na nafasi ya kufanya vibaya

“Nimategemeo ya Halmashauri kuwa kazi mlizoomba hamkulazimishwa ni ninyi wenyewe mmezitaka hivyo rai yangu kwenu mfanye kazi kwa uzalendo ili muitendee haki taaluma yenu katika kulijenga Taifa” alisisitiza Mhe. Mlimba

Wakati wa kusaini mkataba huo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduma Bw. Philemon Magesa amesema mkataba huo ni wa wazi na mkandarasi amepata kulingana na vigezo husika na si kubebwa na mtu hivyo anategemea taaluma zao zitatumika katika kutekeleza miradi hiyo

 

Ameongeza kuwa Mkandarasi awasiliane na mhandisi wa Halmashauri ya Mji Tunduma kama kuna mabadiliko au kutokueleweka kwa ramani, michoro, vipimo na ubora wa miradi. Pia wahakikishe kazi zinafanyika kwa kasi usiku na mchana bila kuathiri viwango vya ubora kadri ya mkataba ulivyo.

"Taa zimefungwa ili kazi ifanyike usiku na mchana, lengo ni kukamilisha mradi mapema kwa kupunguza siku za ukamilishaji wa mradi. Pia Mkandarasi hakikisha mnaongeza nguvu kazi za kutosha ili mkamilishe mradi mapema zaidi". Alisema Mkurugenzi

Nae Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Mji Tunduma Bi. Mwanaisham Shemaghembe ameshukuru namna mikataba hiyo ilivyosainiwa kwa uwazi na kusisitiza ushirikiano katika utekelezaji wa miradi ili isijekutokea sintofahamu pindi mkandarasi akishindwa kutekeleza wajibu wake kuligana na matakwa ya mkataba

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa