• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MKESHA WA MWENGE WA UHURU 2023 KUAMBATANA NA KUSHEREKEA MAFANIKIO YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

Imewekwa : August 22nd, 2023

TUNDUMA: Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Fack Lulandala amesema usiku wa mkesha wa Mwenge wa Uhuru 2023 katika Halmashauri ya Mji Tunduma itakuwa ni sherehe kubwa ya kusherehekea mafanikio ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania kwa kipindi cha uongozi wake.


Mkuu wa Wilaya, Mhe. Fack Lulandala amesema hayo wakati wa kikao kazi cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023 kilichofanyika ukumbi wa High Class na kuwakutanisha wadau wa maendeleo wa Mji wa Tunduma wakiwemo Madiwani, wafanyabiashara, vikundi mbalimbali, walimu Wakuu na Wakuu wa Shule pamoja na viongozi wa Mila, mitaa na Kata.


Mwenge wa Uhuru utapokelewa Septemba 5 kutoka Wilaya ya Mbozi na mkesha wa sherehe za mafanikio ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan zitafanyika Mpemba septemba 5.


Mhe. Fack Lulandala amesema Katika kufanikisha sherehe hii ya mafanikio ameunda kamati za maandalizi ambazo zinaundwa na wananchi wa Tunduma pamoja na watumishi.


"Nimeamua kuunda Kamati ambazo wananchi ndio wengi kuliko watumishi kwa kuwa Mwenge wa Uhuru ni mali ya wananchi na sio watumishi tu na sherehe ambayo tunaiandaa ya mafanikio ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inahusu mafanikio makubwa ambayo wananchi wa Tunduma wamepata kwa kipindi chake" Mhe. Fack Lulandala.


"Nimeielekeza Kamati ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru kuhakikisha siku hiyo burudani nzuri inakuwepo kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa tunataka siku ya mkesha wa Mwenge wa Uhuru iwe ni Sherehe ya kuambatana na burudani nzuri kwa wananchi wote wa Tunduma" Mhe. Fack Lulandala.


Pia, Mkuu wa Wilaya, Mhe. Fack Lulandala ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru pale Mpemba, sehemu utakapokesha pamoja na kwenye miradi utakapokuwa unapita.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mhe. Ayubu Mlimba amesema wao madiwani watakwenda kuwahamasisha wananchi washiriki kwa wingi kwenye mbio za Mwenge wa Uhuru.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa