• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MKUU WA MKOA AIPA PONGEZI HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

Imewekwa : April 26th, 2023

Na William Maganga - Tunduma TC

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis Michael amezindua vyumba 9 vya madarasa vipya katika Shule ya msingi Msongwa iliyopo Kata ya Chipaka Halmashauri ya Mji Tunduma ikiwa ni kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Kabla ya kuweka jiwe la msingi hilo Mkuu wa mkoa alikagua madarasa yote na kumpongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma kwa usimamizi mzuri wa ujenzi huo kwani muonekano wa majengo unaendana na thamani ya fedha zililotolewa na serikali

Pia Mhe. Dkt. Michael alitoa wito kwa wakurugenzi wengine wa Halmashauri zote za mkoa wa Songwe kuiga mfano mzuri wa Tunduma ili kuendelea kuboresha mazingira rafiki na wezeshi kwa ajili ya wanafunzi kusoma

Mhe. Dkt. Michael alieleza historia ya Elimu kwa Mkoa wa Songwe kuwa ilianzia wakati wa Ukoloni wa Mjerumani ambako wamisionari ndiyo walianzisha shule katika maeneo ya machifu. Hadi muungano, Mkoa wa Songwe ulikuwa na Shule tatu (3) za Serikali ambapo Wilaya ya Ileje kulikuwa na shule moja ya Malangali na Mbozi ilikuwa na shule tatu (3) ambazo zilikuwa chini ya utawala wa machifu. 

“Takwimu zinaonyesha hadi mwaka 1975 baada ya Mpango wa UPE kuanza eneo la Mkoa wa Songwe kwa sasa lilikuwa na wanafunzi 27,327 wa shule za Msingi na hadi kufikia 2016 wakati Mkoa unanzishwa kulikuwa na wanafunzi 248,403 na mwaka 2023 tuna jumla ya wanafunzi 279,829. Aidha shule ziliongezeka kutoka chini ya 10 wakati wa muungano hadi kufikia 474 za Msingi na Sekondari kutoka 0 hadi 126 zilizopo sasa” alisisitiza Mhe. Dkt. Michael


Shule ya msingi Msongwa ilipokea fedha toka Serikali Kuu Milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 9, jengo la utawala, vyoo vya wanafunzi matundu 26 na vyoo vya waalimu matundu 4. Pamoja na fedha izo lakini wananchi wa Kata ya Chipaka kwa nguvu zao wamechangia Milioni 3 na Halmashauri ya Mji Tunduma kupitia mapato yake ya ndani imetoa Milioni 25 kwa ajili ya kuchimba kusima cha maji ambacho maji.

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 January 23, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mhe. Dkt. Nchemba Atembelea OSBP Tunduma

    March 20, 2025
  • Waziri Aweso Aagiza Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa Kukamilika kwa Wakati

    March 20, 2025
  • 'Ahadi Imetimia, Bilioni 119.9 Kutumika Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa'

    May 20, 2025
  • Wananchi Wanatarajia Uongozi Bora Kutoka Kwenu: DC Mwandobo

    March 05, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa