• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MRADI WA DREAMS KUWANUFAISHA WASICHANA RIKA BALEHE TUNDUMA

Imewekwa : April 16th, 2023

Na William Maganga – Tunduma

Integrated Rural Development Organization (IRDO) ni shirika lisilo la kiserikali ambalo kupitia mradi wa DREAMS limeweza kuwaibua mabinti 669, kutoa huduma ya upimaji na ushauri nasaha kwa mabinti kutambua sehemu salama ambazo mabinti wanajifunza masomo na uendeshaji wa vipindi na elimu mbalimbali za kujiinua kiuchumi.


Shirika la IRDO lina tekeleza mradi wa DREAMS unaosaidia mabinti balehe na wanawake vijana wenye umri wa miaka (15 – 24) katika Kata 15 za Halmashauri ya Mji Tunduma. Mradi unakusudia kuwasaidia mabinti balehe na wanawake vijana walio katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI kwa kuwawezesha kubadili tabia na kuwainua kiuchumi ili waweze kujitegemea na kuandaa jamii ya baadae iliyo na maadili mema na iliyo salama.


Mkurugenzi wa Shirika la IRDO Bwana Simon Chiwanga amemesa kuwa nia ya kuanzisha Mradi wa DREAMS lengo lake kubwa ni kuwasaidia vijana ambao kwa sasa takwimu zinaonyesha asilimia 40 ya maambukizi mapya ya UKIMWI kundi la wasichana balehe na wanawake vijana kuanzia umri miaka 15 hadi 24 ndio limekuwa linaathirika kwa kiwango kikubwa barani Afrika.

“Tumeamua kuichagua Halmashauri ya Mji Tunduma kutokana na kuwa na  Muingiliano mkubwa wa wafanyabiashara wanao tumia mpaka wa Tunduma – Nakonde kuingia na kutoka Tanzania na kuelekea nchi za SADC” alisema Bwana Chiwanga


Mratibu wa mradi wa DREAMS Bi. Jackline Mhegi amesema mpango wa DREAMS utakwenda kuwasaidia wasichana rika balehe na wanawake vijana kwenye vyanzo au sababu zinazopelekea mabinti wengi kupata maambukizi mapya kwa kujua namna ya kujikwamua.
"Tunawafundisha vijana rika balehe waliotengwa au wenye changamoto zinazopelekea kujiingiza katika ngono zisizo salama kwa lengo la kujikwamua kiuchumi jinsi ya kuepuka vishashiwi na kubaki kuwa salama katika Maisha yao ya kila siku" alisistiza Bi. Jackline
Hivyo kwa wale mabinti ambao watakuwa katika sehemu hatarishi kupata maambukizi kwa sababu izo basi mpango wa DREAMS utawasaidia kiuchumi na

Mradi wa DREAM umepata muitiko mkubwa sana kwa vijana rika balehe na matarajio ni makubwa sana ya kuwafikia vijana wengi zaidi ili waweze kuondokana na changamoto zinazowakabili

Shirikia la IRDO limefungua Ofisi yao ndani ya Mji wa Tunduma Mtaa wa Msampania, Kata ya Chapwa Jirani na zilipo Ofisi za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa