• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MWIZI NI MWIZI HAIJALISHI ANATOKA ZAMBIA AU TANZANIA_DC LULANDALA

Imewekwa : October 21st, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. Fack Lulandala ameyasema hayo alipokuwa kwenye kikao cha Ujirani mwema kinacho jumuisha Viongozi wa Wilaya ya Nakonde – Zambia na Viongozi wa Wilaya ya Momba – Tanzania kilicho fanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zwangendaba Fresh Air uliopo Nakonde nchini Zambia Oktoba 21, 2022

Mkuu wa wilaya wa momba amefikia hatua hiyo baada ya kupata taarifa kuwa kumekuwa na matukio ya kihalifu kwa baadhi ya watu ambao wakiiba Tunduma (Tanzania) wanakimbilia Nakonde (Zambia) na wakiiba Zambia wanakimbilia Tanzania

“Wezi wote wanaoiba Tanzania au Zambia wanatakiwa kushughulikiwa kikamilifu kwa mujibu wa sheria. Makamanda wetu wote OCD Tunduma na OCD Nakonde mpo hapa muongeze ushirikiano katika kutusaidia hili jambo mpaka wetu wa Tunduma – Nakonde unatakiwa kuwa salama na wenye amani kwa wageni wote. Ninaimani kuwa makamanda wa uhamiaji pia mtafanya kama wenzenu wa Polisi ili kuendelea kuutunza mpaka wetu vizuri” alisema DC Lulandala

 


Nae Mkuu wa kituo cha polisi Tunduma ASP Geofrey P. Mshani ambaye pia ni Kaimu OCD Momba alisema kwa sasa Jeshi la Polisi Tunduma linashirikiana na Jeshi la Polisi la Nakonde kwa kufanya Doria za pamoja katika kukabiliana na wahalifu wanao iba au kufanya makosa nchi moja na kukimbilia nchi nyingine.

“Kwa sasa tunafanya doria ya pamoja na kushirikiana pindi tunapoona mhalifu tunapeana taarifa ili kuwabaini, nia yetu ni kutokomeza uhalifu hapa mpakani ili wageni wote waje na kuondoka kwa amani” alimsema ASP Mshani

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Nakonde Mhe. Marvellous Sikapizye amesema kuwa Tunduma na Nakonde ni ndugu kwani watu wake wanaoana na kushirikiana katika mambo ya kimila na desturi za kijamii.

“Chifu wa Msangano Tanzania ni kaka wa chifu wa Nakonde na chifu wa isoka kwahiyo sisi ni ndugu na udugu wetu unatakiwa kuendelea, tutaendeleza kushirikiana katika Nyanja zote za Usalama, Mipaka ya nchi, Urafiki na Ujirani mwema” alimsema DC Sikapizye


Miongoni mwa mambo yaliyo jadiliwa katika kikao hicho cha ujirani mwema ni Pamoja na jinsi kupunguza msongamano wa Magari upande wa Tunduma yanayovuka Kwenda nchi ya Zambia ambayo yamekuwa yakiathiri baadhi shughuli za kawaida za wakazi wa Tunduma. Na jinsi ya kuwaondoa Machinga wanaofanya biashara katika maeneo ya mpaka ambayo hayaruhusiwi kisheria kufanyia biashara.


Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa