• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MZAZI ATAKAYEKWEPA MAJUKUMU YAKE HATUA KALI ZITACHUKULIWA DHIDI YAKE

Imewekwa : January 2nd, 2023

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Philemon Magesa amewataka watumishi wote kuhakikisha wanaendelea kutoa Elimu huko mitaani katika kipindi hiki cha sikukuu kwa wananchi hususani wazazi na walezi wote wa Watoto wanaotakiwa kujiunga na Darasa la Awali, Darasa la kwanza na Kidato cha Kwanza kuwa shule zitafunguliwa Januari 9, 2023

Hivyo kila mzazi anatakiwa kuhakikisha mtoto anafika shule siku ya kufunguliwa kwa mwaka wa masomo na kuanza kusoma.

“Sisi kama serikali jukumu letu tumelikamilisha kwa kuandaa vyumba vya madarasa na kununua vifaa vya kufundishia na kujifunzia. Kwa hiyo hakuna sababu ya mzazi kutokumleta mwanafunzi” alisisitiza Mkurugenzi Magesa

Nendeni mkawakumbushe wazazi kuwa uandikishaji wa Darasa la Awali na Darasa la Kwanza mwisho ni Disemba 30, 2022 hivyo wazazi na walezi wote wanapaswa kuwaandikisha watotom wao katika shule zilizopo karibu yao ili Watoto hao wapate haki yao ya msingi ya Elimu.

Tunaendelea kumshukuru sana Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuiwezesha kada ya elimu Msingi na Sekondari kwa kutoa pesa nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu kwa ajili ya Watoto wa Kitanzania kupata elimu tena bila malipo.

“Haiwezekani Serikali itoe pesa tujenge madarasa na vifaa vingine pia ifute ADA kwa wanafunzi wote toka Darasa la Awali hadi kidato cha sita, halafu mzazi/mlezi kwa matakwa yake yeye mwenyewe asimlete mtoto shule. Hakika hapo hatopona mtu sheria lazima ichukue mkondo wake kwa wazazi/walezi wa aina hiyo” alisisitiza TD Magesa

Halmashauri ya Mji Tunduma inatarajia kuwa na wanafunzi 4309 wa kidato cha kwanza na Sekondari kwa Ujumla ni 12,228 yaani tangu kudato cha kwanza hadi kidato cha sita. Kwa upande wa Elimu Msingi. Na upande wa Elimu ya Awali Halmashauri ya Mji Tunduma inatarajia kuwa na wanafunzi 4161 na Elimu ya Msingi yaani Darasa la Awali hadi Darasa la Saba ni 42127.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa