• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MACHINGA 1200 WAPEWA MAENEO RAFIKI KWA AJILI YA BIASHARA STENDI KUU TUNDUMA

Imewekwa : November 9th, 2022

SONGWE: Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) Mkoa wa Songwe wamempongeza Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia fedha shilingi milioni 10 za ujenzi wa Ofisi ya Mkoa ya wamachinga.

SHIUMA wametoa pongezi izo walipokutana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Waziri Kindamba ofisini kwake kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ya machinga.


Mwenyekiti wa wamachinga Mkoa wa Songwe, Ndg. Kelvin Kyando amesema pamoja na milioni 10 za ujenzi wa ofisi Bado Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha milioni 383 za kuanzia ujenzi wa soko la machinga Tunduma, soko ambalo likikamilika litakuwa na thamani ya Bilioni 6.9 kwa kweli tunamshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan.

"Tunaamini soko likikamilika litawasaidia machinga wengi wakiwemo wale ambao wako soko la Iboya kufanya biashara zao kwa uhuru na ufanisi, ata hivyo tunawashukuru Halmashauri ya Mji wa Tunduma kwa jinsi walivyowapanga vizuri machinga katika sehemu ambazo kuna wateja" Kelvin Kyando Mwenyekiti wa Machinga.


"Stendi ya Kuu ya Mabasi ya Tunduma iliyopo Mpemba imetusaidia sana sisi machinga imeweza kuchukua wamachinga wengi, wale wenye vibanda ni zaidi ya 1200 achilia mbali wanaouza kwenye mabango, mabox na Nyungo kwa hili tunaishukuru sana Serikali ya Halmashauri ya Mji Tunduma" Kelvin Kyando.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Waziri Kindamba ametoa wito kwa wamachinga kushirikiana kwa pamoja ili waweze kufanya vitu vikubwa kwa pamoja wakati huu ambao Serikali ya Mhe. Samia Suluhu Hassan inatoa ushirikiano mkubwaa kwa wamachinga.


Mkuu wa Mkoa, Mhe. Waziri Kindamba amesema kwa sasa baada ya Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan kuifungua Nchi wawekezaji wengi wameonyesha nia ya kuja kuwekeza Songwe na Serikali inaendelea kuleta fedha nyingi za utekelezaji wa miradi mbalimbali hivyo ni wakati sasa machinga kuchangamkia fursa zitakazojitokeza.

"Katika kuishi hapa nataka kugusa maisha ya watu wote wakiwemo machinga na siku nikiondoka nataka mnikumbuke kwa mema kwani binadamu hatujaletwa Duniani kukandamizana tumeletwa kusaidiana" Mhe. Waziri Kindamba.


Aidha, Mkuu wa Mkoa ametoa wito kwa machinga kujiunga katika vikundi vya uzalishaji ili waweze kunufaika na mikopo ya asilimai 10 inayotolewa na Halmashauri.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa