• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

SHEREHE ZA UTIAJI SAINI KATI YA TBA NA TUNDUMA ZAFANYIKA

Imewekwa : June 27th, 2022

Halmashauri ya Mji Tunduma imeingia mkataba na mkandarasi mshauri kwa ajili ya kuandaa michoro ya ujenzi wa jengo la ghorofa moja la Hospitali ya Mji Tunduma

Mkataba huo umesainiwa leo tarehe 27/06/2022 katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma kati ya Halmashauri ya Mji Tunduma na Wakala wa majengo Tanzania (TBA)

Jengo la ghorofa linalotakiwa kujengwa litakuwa na WODI zote za WANAUME, WANAWAKE NA WATOTO pamoja na Vyumba vya Upasuaji.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Bwana Philemon Magesa amewaambia wawakilishishi wa wakala wa majengo Tanzania kwamba Halmashauri inaimani na TBA na inajua kuwa wanauwezo wa kufanya kazi hiyo kwa weledi kwani hata ile ya jengo la OPD ambalo kwa sasa limeshaanza kufanya kazi michoro yake ilichorwa na TBA

“Sina shaka na uwezo wenu TBA ila ninachowaomba mjitahidi sana kazi hii iishe ndani ya mkataba kama tunavyo saini leo, wananchi wa Tunduma wanahaja sana na Hospitali hivyo mkijitahidi kukamilisha hata kabla ya muda tuliokubaliana wa miezi miwili itakuwa bora Zaidi” alisema Magesa

Katika maelezo yake Mwakilishi wa TBA Mhandisi Fidelis Cosmas ambaye ni mhandisi wa miradi kwa Mkoa wa Songwe amesema kazi hiyo itakamilika kabla ya wakati kwani anajua jinsi wananchi wanavyo pata tabu katika Huduma za Afya

“Tutafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha kuwa kazi zote tunazikamilisha kwani TBA ina wataalamu wa kila Idara katika Ujenzi hivyo kazi hii itaisha kwa wakati” alisema Mhandisi Cosmas

Mkataba huu imesainiwa leo kwa makubaliano ya kufanyika kazi hiyo kwa muda wa miezi miwili yaani mwezi JUAI na AGOSTI. Hivyo mwanzo ni Julai 01, 2022 na mwisho ni Agosti 30, 2022

Naye mwanasheria wa Halmashauri ya Mji Tunduma Adv. Frank Sikalengo amewataka TBA kutii na kuheshimu mkataba uliosainiwa leo kwani wakikiuka sio tu watakuwa wameikosea Halmashauri bali pia wameikosea Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yenye nia ya kuwasaidia wananchi katika sekta ya Afya.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa