• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

SILINDE AMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA KWA KUPELEKA MABILIONI YA MIRADI YA MAENDELEO TUNDUMA.

Imewekwa : February 14th, 2023

Naibu Waziri Ofisi ya Rais -TAMISEMI ambaye pia ni Mbunge wa Tunduma, Mhe. David Silinde amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka fedha Nyingi za miradi ya maendeleo kila sekta katika Halmashauri ya Mji Tunduma mkoani Songwe.

Ameetoa shukrani hizo tarehe 14 Februri 2023 wakati akielezea miradi iliyotekelezwa katika Jimbo lake la Tunduma wakati wa ziara ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa katika Halmashauri ya Mji Tunduma.

Mhe. Silinde amesema katika sekta ya Elimu, Shule maalum ya Sayansi ya Wasichana ya Mkoa wa Songwe inaendelea kujengwa eneo la Namore katika Halmashauri ya Mji Tunduma ambayo inagharimu shilingi bilioni 4

Amesema Shule nyingine maalum moja kati ya 15 zilijengwa nchi nzima, imechejengwa katika kata ya maporomoka ambayo imeghalimu bilioni 1 iliyoenda sambamba na ujenzi wa Shule ya Sekondari ya kata ya Uwanjani.

Aidha, Mhe. Silinde Katika miaka miwili ya Rais, Dkt. Samia amewezesha ujenzi wa Vituo vya afya vitano katika Halmashauri ya Mji Tunduma ambavyo vitagharimu bilioni 2 na milioni 500

Mhe. Silinde amesema ujenzi wa Jengo la dharura (EMD) katika hospitali ya wilaya Tunduma inaendelea kujengwa kwa gharama ya shilingi milioni 336 na Vifaa tiba kama X-Ray na Mashine ya Kuzalisha Hewa ya Oksijeni zimeshaletwa.

Kadhalika, Silinde amesema bajeti ya TARURA imeongezeka kutoka bilioni 1 kufikia bilioni 4 kwa sasa na ujenzi wa Soko la kisasa kata ya Mazengo kwa gharama ya shilingi bilioni 2.3 pamoja na Soko la dagaa la bilioni 1.5

Amesema katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati, Yamejengwa maegesho ya magari makubwa kwa shilingi bilioni 1.6 na stendi eneo la Mpemba ya shilingi bilioni 1.6

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 January 23, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Waziri Aweso Aagiza Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa Kukamilika kwa Wakati

    March 20, 2025
  • 'Ahadi Imetimia, Bilioni 119.9 Kutumika Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa'

    May 20, 2025
  • Wananchi Wanatarajia Uongozi Bora Kutoka Kwenu: DC Mwandobo

    March 05, 2025
  • Tusisahau Tulikotoka: TD Chaurembo

    March 05, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa