• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

TANZANIA YAHAKIKISHIWA SOKO LA UHAKIKA LA PARACHICHI NCHINI MAREKANI

Imewekwa : November 3rd, 2022

Kufuatia mahusiano mazuri ya kibiashara baina ya Tanzania na Marekani,Tanzania ipo mbioni kunufaika na soko kubwa la Parachichi nchini Marekani baada ya kukamilika kwa taratibu chache za masuala ya usafi wa mazao.


Hayo yamesemwa  leo tarehe 03 Novemba, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa Kilimo * Mh.Anthony Mavunde* na Ujumbe kutoka nchini Marekani ukiongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Jewel Bronaugh


"Serikali inaendelea na  mazungumzo na Marekani, ili tuweze kufikia vigezo vya kibiashara kuuza parachichi yetu nchini mwao. Tayari taratibu za awali za kuhakikisha tunakidhi vigezo vya kimataifa vya usalama na usafi wa mazao umeanza,kukamilika kwa taratibu hizo kutafungua mlango wa nchi ya Tanzania kuanza kusafirisha kwa wingi parachichi nchini Marekani na hivyo kutengeneza soko la uhakika la zao la parachichi kwa wakulima wa Tanzania.


Ninaishukuru Serikali ya Marekani kwa kukubali kuirudisha Tanzania kuwa moja ya Nchi zinazotekeleza Programu ya  Feed the Future ambao pia ndani yake upo mradi wenye thamani ya Dola za kimarekani 40m wa kukuza tasnia ya mbogamboga na matunda ambao pia utalenga katika kuongeza mnyororo wa thamani ya zao la parachichi na mazao mengine.


Ni vyema  programu mbalimbali zinazoletwa kutekelezwa nchini ziwe zinaendana na mipango ya Serikali ambayo inalenga kwenda kutatua changamoto zinazowakabili wakulima na Watanzania kwa ujumla ili kupunguza fedha nyingi kutumika katika semina na warsha mbalimbali ambazo mwisho wa siku zina mchango mdogo katika kukuza sekta ya Kilimo”Alisema Mavunde


Kwa upande mwingine, Naibu Waziri wa Kilimo wa Marekani, Dkt. Jewel Bronaugh ameipongeza Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa  dhamira na utashi mkubwa wa kukuza sekta ya kilimo ambayo inathibitishwa na ongezeko la bajeti ya nchi katika kilimo na kuja na mikakati kabambe ya kukuza sekta ya Kilimo nchini.


Naibu Waziri Dr. Bronaugh ameahidi nchi yake kuendelea kuipa ushirikiano Tanzania kwa kuendelea  kutekeleza programu na mikakati mbalimbali yenye lengo la kuendeleza sekta ya kilimo na kuimarisha mahusiano ya kibiashara baina ya Marekani na Tanzania.









Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa