• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

TAWEN YAFUNGUA TAWI TUNDUMA WILAYANI MOMBA

Imewekwa : August 27th, 2022

 Taasisi ya kuwawezesha wanawake Kiuchumi, Kisiasa, Kielimu na Uongozi Tanzania Tanzania Women Empowerment Network (TAWEN) leo Agosti 27 imefungua tawi lake katika Mji wa Tunduma Wilayani Momba kuwaunganisha wanawake wote katika Mkoa wa Songwe ambapo Mhe. Mbonimpaye  Mpango alikuwa mgeni rasmi wa uzinduzi huo

Mwanzilishi wa TAWEN Bi. Florence Masunga amesema kuwa TAWEN ni Taasisi isiyo ya Kiserikali iliyoanzishwa mnamo tarehe 31 Novemba 2021 Jijini Dodoma inayofanya kazi chini ya Wizara ya Maendeleo ya jamii kwa lengo la kuwasaidia au kuwawezesha wanawake katika nyanja mbalimbali, ikiwemo kuboresha hali ya kiuchumi kwa kusaidia au  kuibua vipaji mbalimbali walivyonavyo wanawake Pamoja na kutekeleza shughuli za ujasiliamali.

Katika uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Staples Inn uliopo Chapwa Tunduma Mgeni rasmi mke wa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mbonimpaye Mpango ambaye ndiye mshauri mkuu wa shirika hilo  amesema TAWEN inalenga kuwawezesha wanawake na mabinti Kibiashara, katika Uongozi, Elimu, Kisiasa na Kiuchumi.

“TAWEN inaunga mkono malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita  inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika suala zima la kumkomboa mwanamke  kwa hatua zilizofikiwa za kumkomboa mwanamke duniani na kuhakikisha mwanamke anakuwa chachu ya maendeleo kwa ngazi ya familia na Taifa kwa ujumla” alisema Mhe. Mbonimpaye Mpango

Pia amewaasa wanasongwe hususani wanawake kuzitumia vizuri fursa zilizopo na kuwataka waweze kusikilizana na kujadiliana kwa makini ili waweze kutambua yale wasioyajua ili kufikia mwishoni mwa mwaka huu waweze kutatua changamoto mbalimbali zinazowakumba wanawake.

Katika kutekeleza majukumu ya TAWEN mwalimu wa viwanda Bi. Fatma Kange alifungua kiwanda cha alizeti kinachosimamiwa na wanawake ambacho kiliwekwa wakfu na Mgeni rasmi katika uzinduzi huo na  kuwasisitiza kwamba ili kiwanda hicho kikue na kudumu kinahitaji ushirikiano baina yao na ubora wa bidhaa zinazozalishwa

Aidha Mwenyekiti wa TAWEN ambaye pia ni mke wa Waziri mkuumstaafu Mhe. Tunu Pinda alisema uwepo wa TAWEN katika Mkoa wa Songwe utasaidia kuweka nguvu ya Pamoja ili kutumia fursa zilizopo kama kilimo cha kisasa, kuzalisha na kuchakata bidhaa kwa ubora zitakazokubalika kimataifa pia kuhamasishana wanawake wenyewe na kupeana fursa .

Sambamba na hilo aliwataka wanawake Mkoani Songwe kuwa  na ushirikiano katika kufanikisha malengo waliyonayo pamoja na utayari wa kufaniskiwa kama ilivyo kauli mbiu “Mwanamke inuka wakati ni sasa”

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa