• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

TUNDUMA KINARA UKUSANYAJI WA MAPATO ROBO YA KWANZA MKOANI SONGWE

Imewekwa : November 11th, 2022

Halmashauri ya Mji Tunduma imepongezwa katika Ukusanyaji wa Mapato kwa kipindi cha Robo ya kwanza ya Mwezi Julai hadi Septemba 2022

Pongezi hizo amezitoa Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Waziri Kindamba wakati akifungua Kikao kazi cha Tathmini ya Utekelezaji wa Shughuli za Halmashauri kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji  Tunduma wakati akipokea pongezi hizo alieleza mambo ambayo Tunduma inafanya hadi kufikia mafanikio hayo

Jambo la kwanza ni Halmashauri ya Mji Tunduma kuwa na Kanzi Data ya biashara na Maduka yote. Hii imechangia sana ukuaji wa mapato katika Halmashauri

“Ukiwa na takwimu za biashara zako utajua unatakiwa kukusanya fedha kiasi gani, lakini kama huna takwimu huwezi kuwa na uhalisia wa makusanyo ndio maana Leo Tunduma tunaweza kwani tunajua nani hajalipa kutokana na takwimu zetu” alisema Mkurugenzi Magesa

Pili ni kuunda kikosi kazi cha kukusanya mapato, Halmashauri ya Mji Tunduma nimeunda kikosi kazi maalumu kwa ajili ya kukusanya mapato. Kikosi kazi hiki kinafanya doria usiku na mchana kwa kuhakikisha hakuna mapato yanayotoroshwa kwenda nje ya Halamshauri bila kulipa

Tatu ni Kutenga Gari maalumu kwa ajili ya kikosi kazi, Halmashauri ya Mji Tunduma imetenga gari maalumu kwa ajili ya kikosi Kazi cha kukusanya mapato. Gari hili haliguswi na shughuli nyingine yoyote katika Halmashauri isipokuwa kikosi cha Mapato tu.

Nne ni kupeleka Fedha benki Halmashauri ya Mji Tunduma inahakikisha kila siku mkusanya mapato halali na pesa nyumbani. Kila siku jioni lazima Afisa Mapato aandae bill na kuwapatia wakusanya mapato wote na kuwataka wapeleke Fedha Benki na ukaguzi Unafanywa na Afisa mapato kujua kama pesa imeingizwa kwenye akaunti husika

Kwa upande wake Mweka hazina wa Halmashauri ya Mji Tunduma Ndugu Dickson Mgawe alieleza mikakati ya Halmashauri ya Mji Tunduma ni kuibua na kuanzisha vyanzo vipya kila mwaka ili kuhakikisha Tunduna inaendelea kupata mapato mapya

“Tunduma tumekuwa tukijitahidi kila mwaka kuibua vyanzo vipya na kuvirekebisha vile tunavyoona havifanyi vizuri na kuviwekea mkakati maalumu katika kuvihuisha ili viweze kufanya vizuri” alisisitiza Mweka hazina Mgawe

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa