• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

TUNDUMA YAENDELEA KUJITANGAZA KIMATAIFA KWA FURSA ZA UTALII NA UWEKEZAJI

Imewekwa : November 12th, 2022

Halmashauri ya Mji Tunduma inaendelea kufanya vizuri katika kujitangaza kwa vivutio vyake vya utalii kama njia ya kuingiza mapato hususani kwa wageni

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Ndugu Philemon Magesa akiongea wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Utalii nyanda za juu kusini unaoitwa UTALII NA UWEKEZAJI KUSINI FAHARI YETU 2022 uliofanyika katika Viwanja vya Kihesa – Kilolo mkoani Iringa alisema kuwa Tunduma tumeamua kujumuika na watanzania wengine katika kuzitangaza Fursa za Utalii na Uwekezaji zinazopatikana katika Mji wa Tunduma

“Tunduma ni Mji wa Kitalii hivyo tunapaswa kujivunia na tunawakaribisha watu mbalimbali kuja kuwekeza au kutalii kwani ni sehemu salama Zaidi kwa uwekezaji na kuishi, karibuni sana ndani ya Mji wa Tunduma” alisema Mkurugenzi Magesa

Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na Utalii Ndugu Zawadi Mwampashe amesema kuwa Halmashauri ya Mji Tunduma ina vivutio vingi sana ambavyo watu wengi hawavijui ndio maana tumekuja kuwaeleza nini kinapatikana Tunduma

“Tunduma ni Mji wa kitalii una vivutio vingi sana ambavyo wengi hawavijui tumekuja hapa tunawatangazia watu vivutio vya utalii pamoja na fursa nyingi zinazopatikana Tunduma pamoja na kuwepo viwanja vinavyoendelea kuuzwa ndani ya Mji wa Tunduma” alisisitiza Mwampashe

Tuduma ni Mji pekee kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ambao unapakana na nchi mbili yaani Zambia na Malawi, pia ni Lango kuu la SADC kwa maana watu wote wanao ingia Tanzania Kutokea nchi za Congo DRC, Zambia, Zimbabwe, Namibia na Afrika kusini zote zinaitegemea Tunduma kama lango la kuingia na kutoka Tanzania

Muingiliano wa watu ni mkubwa sana takribani zaidi ya wageni 2500 kwa siku huingia na kutoka ndani ya Mji wa Tunduma wakitokea Nchi jirani ya Zambia

Kwa upande wake Afisa Utamaduni na Michezo Ndugu Rashid Mwalugi alikuwa na mengi ya kuwaelekeza wageni katika Banda la Mkoa wa Songwe ambapo Tunduma pia imo juu ya fursa na vitu vya asili ambavyo mgeni akija Tunduma hawezi kuchoka kuviona

“Licha ya kuwa Tunduma ni Mji wa Kibiashara lakini unamambo mengi ya asili ambayo yanavutia kuonwa na watu wa rika zote watoto na watu wazima, hapa ni baadhi tu mengi Zaidi karibuni Tunduma mjionee mambo mengi ya kiasili” alisema Mwalugi

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa