• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

TUNDUMA YAJIPANGA KUMALIZA TATIZO LA UDUMAVU

Imewekwa : April 13th, 2023

Na William Maganga – Tunduma

Halmashauri ya Mji Tunduma moja kati ya halmashauri za mkoa wa Songwe, pia inakabiliwa na changamoto ya hali ya lishe duni. Kulinga na na takwimu za kitaifa zinaonyesha kua hali ya udumavu 32% na kwa mkoa wa Songwe ni 31.9%, ambayo kimsingi ni kiashiria cha uwepo wa utapiamlo kwa kiwango kikubwa.

Jambo hili linaifanya Halmashauri ya Mji Tunduma katika kubuni mbinu katika kukabiliana na Udumavu wa Watoto  

Kaimu Mkurugeni wa Halmashauri ya Mji Tunduma Ndugu Lusajo Mwalukasa amesema kuwa Halmashauri imeweka mikakati kwa kutoa pes ana vifaa kwa ajili ya kuwezesha kitengo cha lishe kufanya kazi zake nia ni kuondoa Udumavu Pamoja na Utapiamlo unaowakumba Watoto wadogo

Akiongea baada ya kikao cha kamati ya Lishe Bi. Frida Muhindi ambaye ni Afisa Lishe wa HAlmashauri ya Mji Tunduma amesema kuwa

“Matibabu ya watoto wanaogundulika kuwa na utapiamlo mkali ya naendelea katika vituo teule vya kutolea huduma hiyo. Jumla 17 wenye utapiamlo mkali wametibiwa katika kituo cha afyaTunduma”

Huduma ya ulishaji wa watoto wachanga na wadogo inatolewa katika vituo vyote vya huduma za afya katika Halmashauri ya mji ya Tunduma. Elimu ya namna nzuri ya kuimalisha lishe wakati wa ujauzito, unyonyeshaji na ulishaji wa Watoto wachanga na wadogo hutolewa kila siku katika maeneo ya kliniki ya huduma za afya ya uzazi na mtoto, jumla ya watoto wachanga 3,623 wanapatiwa maziwa ya mama pekee ndani ya miezi 6.

Jumla ya watoto 18,166 waliochunguzwa hali za lishe na walezi kupatiwa unasihi wa lishe. Baada ya uchunguzi watoto 724(4.0%) walikuwa na uzito pungufu kiasi na watoto 100 (0.6%) walikuwa na uzito pungufu sana Watoto 474 (2.6%) walikuwa na ukondefu kiasi na watoto 124(0.7%) walikuwa na ukondefu saana.

Bi. Frida aliendelea kusema Vidonge vya madini chuma vinaendelea kutolewa katika kliniki ya wajawazito kwenye vituo vya kutolea huduma ili kupunguza matatizo yatokanayo ukosefu wa madini hayo. Jumla ya wajawazito 4,253 kati ya 6,518(65.3%) waliohudhuria kliniki walipatiwa vidonge vya madini chuma kati mwezi Januari na Machi 2023, hivyo kuongeza damu mwilini.

Utoaji wamatone ya vitamin A kwa watoto chini ya miaka mitano unafanyika kwa Watoto wanaotakiwa kupata kwa utaratibu wa kawaid ambapo jumla ya watoto 12,401wamepatiwa vitamin A, na watoto 6,008 wamepatiwa vidonge vya minyoo.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa