• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

TUNDUMA YAJIPANGA KUWA NA ZIRO MALARIA IFIKAPO 2030

Imewekwa : April 25th, 2023

Na William Maganga - Tunduma TC

Katika kupambana na Ugonjwa hatari wa Malaria unaoendelea kuangamiza watu nchini Tanzania na Bara la Afrika, Halmashauri ya Mji Tunduma Imejipanga kuhakikisha inatokomeza kabisa ugonjwa huo ifikapo mwaka 2030

Mganga mkuu wa Mji wa Tunduma Dkt. Enock Mwambalaswa ametoa kauli hiyo mapema leo alipokuwa akitoa elimu kwa wananchi na wagonjwa waliokuja kupata huduma katika Hospitali ya Mji Tunduma iliyopo Kata ya Mpemba

Katika maelezo yake Dkt. Mwambalaswa amesema kuwa Halmashauri ya Mji Tunduma imejipanga katika kukabiliana na ugonjwa wa Malaria kwa kuendelea kutoa elimu na kufuatilia mwenendo wa wagonjwa wanapokuja kutibiwa ili kujua kama elimu wanayoitoa inawasaidia wahusika

 

“Halmashauri ya Mji Tunduma katika kupambana dhini ya Malaria inao mkakati wa kuwapima Wagonjwa/ Wateja wote wafikapo katika vituo vya kutolea huduma wenye kuonesha dalili za malaria, mpaka sasa Halmashauri iko <4% ambapo tunao  mkakati wa kutokomeza ugonjwa wa Malaria na kuwa 0% ifikapo 2030” alisisistiza Dkt. Mwambalaswa

Aidha mratibu wa Malaria wa Halmashauri ya Mji Tunduma Bi. Grace Malugu amesema kuwa Halmashauri imefikia mafanikio haya kutokana na jitihada na mikakati iliyojiwekea katika kuutokomeza ugonjwa huu hatari wa Malaria

Bi. Malugu ameeleza kuwa Katika kutekeleza Mapambano dhidi ya Malaria serikali kupitia Wizara ya Afya kitengo cha Malaria mwaka wa fedha 2022/2023 imeendesha zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa watoto wa shule za msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la saba ambapo jumla ya shule za msingi 63 zenye jumla ya Wanafunzi 46,488 wamepatiwa vyandarua kwa shule za serikali na Binafsi

“Kwa mwezi Januari hadi Machi 2023 Jumla ya Wajawazito 4985 walifika kliniki na kupata huduma, kati yao 4355 walipimwa vimelea vya ugonjwa wa Malaria na 31 waligundulika kuwa na vimelea vya malaria, kati yao 4518 sawa na 90.6% ya Wajawazito wote waligawiwa vyandarua” alisema Bi. Malugu

Halmashshuri ya Mji Tunduma inaendelea kutoa elimu ya njia za kudhibiti ugonjwa wa malaria kama vile, Usafishaji wa mazingira kwa maeneo tofauti tofauti kama vile masoko, vituo vya Afya, mahotel, vyumba vya kulala wageni, Matumizi sahihi ya Vyandarua, Upuliziwaji wa viuatilifu kwa sehemu zenye maji yaliyo tuama na Kupima kabla ya kutumia dawa.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa