• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

ILI KUYAFIKIA MALENGO TULIYOKUSUDIA, UKUSUNYAJI WA MAPATO NI KUFA NA KUPONA_ Mhe. Mlimba

Imewekwa : September 23rd, 2022

Mwenyekiti Halmashauri ya Mji Tunduma Mhe. Ayubu I. Mlimba amewataka watumishi wa Halmashauri ya Mji Tunduma kuhakikisha zoezi la ukusanyaji wa mapato linakuwa ajenda namba moja na kwamba wanapaswa kutambua kuwa jambo hilo ni kufa na kupona na kuwa suala hilo ni wajibu wa kila mmoja wao kwani kwa kufanya hivyo kutaleta Maendeleo ya kweli katika Halmashauri hiyo.

Mhe. Mlimba ameyasema hayo alipokuwa akiongea na Watumishi katika kikao kazi kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri Mji Tunduma mapema Leo IJumaa Septemba 23,2022. Na kuwasisitiza kuwa lengo kama Halmashauri ni kuvuka malengo zaidi ya waliyojiwekea katika ukusanyaji wa mapato.

"Ninawaambia ajenda yetu kubwa ni mapato, wito wangu tukusanye mapato kwa kiwango kikubwa, sisi wote tutakuwa tukisaidiana na kumsaidia Mkurugenzi kukusanya mapato, tunataka tuvuke malengo hakuna namna" amesema Mhe. Mlimba


Aidha Mhe. Mlimba aliongeza kwa kusema kuwa ni muhimu kwa Halmashauri hiyo kufanya vizuri katika nyanja zote na kuwasihi watumishi hao kufanya kazi kwa upendo na ushirikiano ili kuyafikia malengo waliyojiwekea.

"hatutaki alama" C", wala "B" tutakapofanyiwa tathmini, tunataka alama "A" tena alama "A+" aliongeza Mhe. Mlimba

Kw upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Philemon Magesa alimshukuru Mwenyekiti kwa kuwakumbusha watumishi juu ya suala zima la ukusanyaji mapato na kusema kwamba wameyapokea maelekezo hayo kwa ajili ya utekelezaji na kuwa hawatomwangusha na kwamba wao kama Halmashauri wapo tayari kuchapa kazi ili kuyafikia malengo

"Nakushukuru sana Mwenyekiti kwa  maagizo yako kwani umetutia moyo sana na ari ya kuchapa kazi, sisi kama Halmashauri tupo tayari kuyafanyia kazi maelekezo yote, tutakeleza ipasavyo na Halmashauri hii itabaki kuwa Juu” alisema Mkurugenzi Magesa


Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa