• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

UFUNGUZI WA NANENANE MBEYA 2022

Imewekwa : August 1st, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dk. Rashid Chuachua amampongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha sekta ya KILIMO, Mifugo na Uvuvi Kuendelea kukua na kuliongezea pato Taifa

Dk. Chuachua ameyasema hayo kwa niaba ya Mikoa yote ya nyanda za juu kusini ndio chachu ya uzalishaji wa mazao ya Chakula na biashara nchini Tanzania

Tunaishukuru sana Serikali kwa kuongeaaa Bajeti ya Kilimo ili kuimarisha Matumizi ya pembejeo bora


Pia vifaaa vya maafisa Ugani vimetolewa na kukuza Ari ya maafisa ugani ili waendeleee kuwasaidiaaa wazalishaji

Naye Waziri wa Mifugo Na Uvuvi Mhe. Ndaki Mashimba amewashukuru Viongozi wakuu kwa namna ambavyo wanawaongoza na kuwaelekeza malengo ili wananchi kufikia Maendeleo ya juu sana katika sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi

Naye Mhe. Hussein Bashe Waziri wa Kilimo amesema sekta ya Kilimo inaajili 80% ya Watanzania, zamani Kilimo kilikuwa ni sehemu ya watu waliofeli maisha Na hata watoto waliokuwa wanafeli waliambia utalima, lakini sasa KILIMO ni biashara

Na tumeamua kusema Kilimo ni biashara na inatakiwa kuheshimiwa kama biashara nyingine katika mambo mawili ambayo ni

Kwanza tuiheshimu sekta ya kilimo

Pili uwekezaji wa Fedha

 Haya mambo mawili yataifanya kada ya kilimo kuwa nyenzo muhimu sana katika nchi hiii.  

Tumeunda Kamati ya kupitia mfumo wa mikopo kwa wakulima ili tuweze kuzibadilisha sheria zinazofanya wakulima wasikopesheke na sasa wakopesheke. Tunaomba uwekezaji wa Serikali uendane Na maendeleo ya kilimo

Tunatatizo kubwa sana la lumbesa kwenye viazi na vitunguu na Halmashauri zimegeuza kuwa chanzo cha mapato

Sasa tukemee na Kuziomba Halmashauri na Mazao yanunuliwe kwenye mizani na viuzwe kwa kilo ili wakulima wapate stahiki zao

Kimekuwa na maneno mitandaoni kuwa tufunge mipaka na tuzuie mazao kwenda nje na sababu kuu ni kupanda kwa bei za mazao.

Mipaka hatutafunga na hakuna mtanzania atakayekufa njaa na wakulima tuwaache waendelee kuuza na kupata Faida kwa Mazao yao tukifunga mipaka tutaua biashara ya Mazao ya wakulima wetu.

 Mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Philipo Mpango amewashukuru sana washiriki wote na mawaziri kwa mwaliko wao na kukemea suala la LUMBESA sasa ni marufuku Tanzania Mazao yote yauzwe kwenye Mizani ili kuwaletea maendeleo na faida wakulima

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa