• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

WAANDISHI WA HABARI CHUKUENI TAARIFA KUTOKA KWENYE VYANZO SAHIHI_ Msigwa

Imewekwa : November 8th, 2022

Hayo ameyasema Mkurugenzi wa Idara ya Habari na  Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson P. Msigwa wakati akizungumza na waandishi wa Habari mjini Bukoba. Mkurugenzi Msigwa amesema kuwa anawapongeza sana waandishi wa Habari kwa kazi nzuri wanayoendelea kuifanya.

“Waziri Mkuu Mhe. Kassim Mjaliwa amenituma niwaambie kwamba ameona kazi kubwa ya kuhabarisha umma mnayoifanya na anaomba muendelee kuhabarisha na msiruhusu upotoshaji kufanyika” alisema Mkurugenzi Msigwa

Pia Mkurugenzi Msigwa aliendelea kusema kuwa ajali haina kinga na inaweza kutokea mahali popote na mtu yeyote akiwa kwenye eneo ambalo ajali imetokea anao wajibu wa kusaidia kukabiliana na madhara ya ajali, ni moja kati ya misingi ya kukabiliana na Majanga

“Sasa hivi wameanza kujitokeza wachambuzi mbalimbali wanaosema kila mtu la kwake, naomba muwe weledi chukueni taarifa kwenye vyanzo sahihi, mamlaka sahihi na taasisi sahihi ili msije jikuta mnaingia kwenye mkumbo wa watu ambao wanaeneza taarifa zisizo sahihi zinazoleta taharuki kwa wananchi na kuzalisha lawama zisizo na msingi” alisisitiza Gerson Msigwa

Mkurugenzi Msigwa aliendelea kusema kuwa Serikali itaanza maramoja kununua vifaa na kuvipeleka maeneo mbalimbali ambapo majanga yanaweza kutokea, tutafundisha wataalam pamoja na kuifundisha jamii juu ya masuala ya namna bora ya kukabiliana na majanga

“Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha Watanzania waangamie pale majanga yanapotokea, kwenye ajali hii tumejitahidi kuhakikisha tunatumia njia yoyote inayowezekana kuhakikisha kwamba tunapunguza madhara ya ajali” alisema Msigwa

Majanga yalikuwa yanahudumiwa na kitengo ndani ya Ofisi ya Waziri Mkuu sasa tumekuja na Sheria mpya ambayo inabana ni namna gani tunatakiwa kuitekeleza, na hiyo ni fursa muhimu katika nchi juu ya kukabiliana na majanga pindi yanapotokea

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa