• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

WAFANYABIASHARA LIPENI KODI NA TOZO ILI TUTEKELEZE MIRADI YA MAENDELEO_Ayubu Mlimba

Imewekwa : September 3rd, 2022

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tunduma Mhe. Ayubu Mlimba ameongoza mkutano wa hadhara katika soko kuu la Halmashauri ya Mji Tunduma lililopo kata ya Tunduma

Lengo kuu ni kuonana na wafanyabiashara na kujua chanagamoto zao katika uendeshaji wa soko na biashara kwa ujumla

Pia mwenyekeiti Mlimba alisema kuwa kutokana na kupanda kwa Gharama za maisha na uendeshaji wa Masoko hapa Tunduma, Halmashauri imeamua kuongeza kodi ya pango kwa vibanda ili kuendana na maisha yaliyopo. Mheshimiwa Mlimba aliendelea kuwaambia kuwa jinsi wanavyolipa kodi ndio miradi inavyoendelea kutekelezwa kwa kasi na uimara wa hali ya juu. Lipeni kodi ili tuijenge Tunduma yetu

Akisoma kodi hizo kwa niaba ya mkurugenzi Afasa Biashara wa Halmashauri ya Mji Tunduma Ndugu Charles Mazengo alisema kuwa awali kulikuwa na kodi kama ifuatavyo kwa vibanda vya nje vilikuwa vinalipwa kwa mwezi mmoja 70,000/= halafu vya ndani 50,000/= kwa 30,00/=

Kwa sasa itakuwa kwa mwezi mmoja vibanda vya nje vitakuwa 100,000/= na ndani itakuwa 70,000/= kwa 40,000/=

Jafari Pimbi mfanyabiashara aliomba Halmashauri ipunguze bei ili kuwapunguzia mzigo kwani wao ni watumwa wa mikopo kwa taasisi za fedha ikiwemo Banki na asasi za mikopo

Daniel mwakamela bei zilizotangazwa sio rafiki maana wafanyabiashara wadogowadogo ni wengi hivyo tunaomba mtupunguzie bei kwani maisha yao pia ni magumu.

Mkurugenzi wa Halmashsuri ya Mji Tunduma Philemon Magesa aliwaeleza wafanyabiashara kwanini bei hizo zinaongezeka, kwani Miradi ya maendeleo mingi inayojengwa na kutekelezwa na Halmashauri kwa mapato ya ndani ikiwemo Kituo cha Afya Chapwa, Shule ya Msingi ya Ghorofa ya Haisoja na miradi mingine mingi.

Wafanyabiashara walielewa na kuahidi kutoa ushirikiano kwa serikali na kujenga uchumi wa Tunduma nanchi kwa ujumla

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Maonesho ya Fani za Ndani Yafana

    May 26, 2025
  • Mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Songwe Rarindima

    May 26, 2025
  • Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Wawasili Tunduma

    May 26, 2025
  • 'Hii Tunashinda kwa Kishindo'

    May 25, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa