• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Wananchi Wanatarajia Uongozi Bora Kutoka Kwenu: DC Mwandobo

Imewekwa : March 5th, 2025

Wananchi Wanatarajia Uongozi Bora Kutoka Kwenu: DC Mwandobo 

Na Benton Nollo, Tunduma TC

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Elias Mwandobo amesema Wananchi wa Halmashauri ya Mji Tunduma wanatarajia uongozi bora na wenye matokeo katika kutatua changamoto zinazowakabili kwenye maeneo yao.

Mhe. Mwandobo ameyasema hayo alipokuwa akifungua mafunzo maalum kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wa Halmashauri ya Mji Tunduma, ambayo yamefanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri hiyo tarehe 05 Machi 2025.

Mhe. Mwandobo amesema anaamini mafunzo hayo yatakuwa na tija kwa viongozi hao katika kuwahudumia na kuwaletea maendeleo Wananchi wa Mji wa Tunduma.

" Binafsi nina imani mafunzo haya yatakuwa na tija katika uongozi wenu, nendeni mkawatendee haki Wananchi mnaowaongoza kwa kutatua kero na changamoto zinazowakabili." Amesema Mhe. Mwandobo na kuongeza;

"Niwatake mzingatie mipaka yenu ya kiutendaji, maana wapo baadhi yenu wanaingilia maeneo ya wenzao ya kiutendaji na kusababisha migogoro isiyo ya lazima katika jamii"

Aidha, Mhe. Mwandobo amewataka Viongozi hao kusimamia mipango mbalimbali inayoibuliwa na Wananchi katika maeneo yao pamoja na kuwa mstari wa mbele kusimamia utekelezaji wa miradi inayoletwa na Serikali kwani wao ndiyo jicho la awali katika muundo wa Serikali.

Pia, Mhe. Mwandobo amewataka Viongozi hao kusimamia masuala ya usalama katika mitaa yao ili maisha na shughuli za kiuchumi zinazofanywa na Wananchi, zifanyike bila bugdha.

"Bila amani katika maeneo yenu ya kiutawala, utulivu hautakuwepo, Wananchi watakuwa na hofu, hivyo ni vema mkadumisha usalama kwa kushirikiana na vyombo vya dola kuwafichua wahalifu au viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani hasa ukizingatia Mji wetu upo mpakani." Amesema Mhe. Mwandobo.

Halmashauri ya Mji Tunduma kupitia Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasirimali Watu imeendesha mafunzo hayo ya siku moja kwa Wenyeviti wa Mitaa wote 71 kupitia Wakufunzi kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa - Hombolo, Dodoma.

[3:48 PM, 5/6/2025] Joan: Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mhe. Ayub Mlimba akizungumza wakati wa kikao cha uhamasishaji kilichofanyika hivi karibuni, kati ya Wajumbe wa Kamati ya Fedha na Utawala, Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Mji Tunduma pamoja na Wamiliki wa maeneo katika eneo la Mpango wa Mji wa Kisasa lililopo Mtaa wa Katete, Kata ya Chipaka ikiwa ni sehemu za hatua za utwaaji wa eneo hilo kwa ajili ya kulipanga.

Baada ya kikao cha pamoja pande zote mbili zimekubaliana malipo ya fidia kwa Wamiliki hao kuwa ni shilingi 1,500 kwa mita moja ya mraba.

Malipo hayo ni kulingana na uhalisia wa thamani ya ardhi katika eneo hilo la Katete, Kata ya Chipaka ambapo wahusika wameridhia kulipwa kwa thamani hiyo.

Eneo linalotakiwa kupangwa lina ukubwa wa ekari 360 ambapo tayari Ramani ya Mipango Miji imeshaandaliwa na Halmashauri ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya ulipaji wa fidia kwa wahusika.

Matukio katika Picha:

(Picha zote na Benton Nollo, TTC).

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 January 23, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Rais Samia Atoa Mkono wa Eid El Fitr, Pasaka Tunduma

    March 31, 2025
  • Mhe. Dkt. Nchemba Atembelea OSBP Tunduma

    March 20, 2025
  • Waziri Aweso Aagiza Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa Kukamilika kwa Wakati

    March 20, 2025
  • 'Ahadi Imetimia, Bilioni 119.9 Kutumika Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa'

    May 20, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa