• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

WANAWAKE WATAKIWA KUFUATILIA MALEZI YA WATOTO WAO ILI KUPINGANA NA UKATILI

Imewekwa : March 3rd, 2023


Mkuu wa wilaya ya Mbozi  Bi Ester Mahawe   amewaomba wanawake katika Halmshauri ya Mji Tunduma Wilayani Momba kujiweka karibu na malezi ya watoto ili Kupambana na Ukatiili kwa watoto kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ubakaji na ulawiti wa watoto.


 Bi Ester Mahawe ameyasema hayo wakati akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Momba Fackii Lulandala katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kiwilaya mjini Tunduma Leo Tarehe 03/03/2023 katika  ukumbi wa Shule ya Sekondari Tunduma Tc


"Mungu aliposema Wanawake ni Jeshi kubwa alijua tuna vita nyingi Ikiwemo ya unyanyasaji wa kijinsia Pamoja na changamoto tulizonazo za kukimbizana kutafuta shilingi turudi kule chini ubakaji Leo umekuwa mkubwa Ulawiti umekuwa mkubwa kwasababu akinamama Kuna mahali tumesahau wajibu wetu" alisisitiza Mahawe.



Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji Tunduma Mwanaisham  Nasoro amesema kuwa swala la Unyanyasaji na ukatili kwa watoto limekothiri kutokana na Muingoliano wa shughuli mbalimbali za Wanawake na wanaume na umri unaoathorika zaidi ni watoto wanotakiwa kuwa shule hivyo wanatamani watoto wote wanaotakiwa kuwa shule waende shule ili kuimarisha ulinzi. wazazi hasa wanawake kuchukua hatua juu ya swala hilo na kama wataendekeza shughuli za kiuchumi kuliko kulea watoto hawawezi kutokomeza swala hilo pamoja na Kujenga Jamii isiyo na usawa hivyo ni jukumu la Serikali na Jamii kutokomeza Ukatili.


Dawati la kupinga Ukatili wa kijinsia kutoka Jeshi la Polisi wilayani Momba Mkoani Songwe limewataka wanawake wilayani humo Kufuatilia kwa Ukaribu Malezi ya watoto ili Kupambana na Ukatili wa kijinsia kwa watoto kutokana na kukithiri kwa vitendo vya Ubakaji na ulawiti wanavyofanyiwa na watu wa karibu


.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mei Mosi Songwe Yafana

    May 01, 2025
  • Chaurembo Awapongeza Walimu

    April 30, 2025
  • Tunduma kwa Taaluma Sina Mashaka Nanyi: RAS Seneda

    April 30, 2025
  • Chaurembo Afungua Mafunzo Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili

    April 29, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa