• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

WATENDAJI NA WENYEVITI WA MITAA TUNDUMA WAPEWA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO

Imewekwa : January 8th, 2023

Tunduma: Viongozi ngazi ya Kata na Mitaa ya Halmashauri ya Mji Tunduma wamepewa mafunzo ya kuwajengea uwezo katika utekelezaji wa majukumu yao. Semina hiyo iliyodumu kwa muda wa siku tatu kuanzia Januari 6 – 8, 2023 imekuwa mahususi katika kuwakumbusha Majukumu yao ili kuweza kuwatumikia wananchi kikamilifu.

Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. Fack Lulandala amewataka Watendaji wa Kata, Watendaji wa Mitaa na Wenyeviti wa Mitaa yote ya Halmashauri ya Mji Tunduma kwenda kuyafanyia kazi yale yote waliyofundishwa kwa siku tatu ili kutoa matokeo chanya

“Mafunzo haya mliyoyapata hapa ni kukumbushana majukumu yenu ili msifanye kazi kwa mazoea bali weledi mkubwa na kwenda kutatua changamoto zote mlizokuwa mnazipata hapo awali kwa ufanisi wa hali ya juu” alisisitiza DC Lulandala

Nilipoambiwa na mkurugenzi kuwa anaandaa mafunzo kwa ajili yenu nilifurahi na kufarijika sana kwani niliamini kuwa mafunzo haya yatakuwa ni nguzo bora kwa utawala bora katika kuwatumikia watanzania.

“Nakupongeza sana Mkurugenzi wa Mji waTunduma Bwana Philemoni Magesa kwa kufanya maamuzi ya kuwapatia mafunzo viongozi hawa kwani umetambua mafanikio yoyote ndani ya Halmashauri huanzia katika ngazi ya viongozi hawa wa kata na mitaa hongera sana” alipongeza DC Lulandala

Nae Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Ndugu Philemon Magesa amesema kuwa Halmashauri ya Mji Tunduma imeshapanga Bajeti kwa ajili mafunzo ya viongozi na mafunzo hayo sio tu kwa wakuu wa Divisheni na Vitengo bali ni kwa watumishi wote kuanzia ngazi ya Mitaa hadi ngazi ya Halmshauri

“Utaratibu huu sio mwisho ni endelevu na kila mwaka tumejiwekea walau mara mbili au tatu mafunzo yafanyike ili kuwajengea uwezo watumishi mbalimbali, nia yetu Tunduma tuwe kitu kimoja kwa kuongeza ufanisi katika kulitumikia Taifa na baada ya kusoma hivi sasa inafuata mafunzo kwa vitendo yatakayohusu kusafiri na kwenda katika Halmashauri zinazofanya vizuri ili kuendelea zikujifunza” alisema Mkurugenzi Magesa

Naye mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tunduma Mhe. Ayubu Mlimba aliwataka washiriki kuyatumia mafunzo hayo vema kwani Baraza la Madiwani lilipitisha bajeti kwa ajili ya mafunzo hayo huku likiamini kuwa washiriki watapata mbinu na maarifa mapya ya kuongoza na kuwatumikia wananchi vizuri

Kwa niaba ya washiriki wa mafunzo Mwenyekiti wa Mtaa wa Ihanda Kata ya Maporomoko Ndugu Abdilah Alito ameushukuru sana uongozi wa Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kuamua kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo kwani jambo hili limefanya kuwakumbusha majukumu na kuwaongezea ari katika kufanya kazi

“Tunakushukuru sana Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tunduma na Mkurugenzi kwa kutupatia mafunzo haya kwani yametujenga sana na tumetoka hapa tukiwa na maarifa mapya ya kwenda kuibua miradi mipya ya maendeleo pamoja na kusimamia miradi inayotekelezwa katika mitaa na kata zetu” Alisema Mwenyekiti Alito

Mafuzo haya yalishirikisha washiriki 157 kati yao Watendaji wa Mitaa 71, Wenyeviti wa Mitaa 71 na Watendaji wa Kata 15

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa