• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MWAKAKATI

Start Date: 2021-07-01
End Date: 2022-10-31

Halmashauri ya Mji Tunduma katika Mwaka wa Fedha 2021/2022 imepokea fedha za TOZO ya Miamala ya simu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya kinachojengwa katika Kata ya Mwakakati Mtaa wa Merelani. Mradi unatekelezwa kwa Force Akaunti.

Utekelezaji ulianza rasmi 01/03/2022 kwa ujenzi wa jengo la OPD, jengo la Maabara na kichomea taka.  Majengo ya mama na Mtoto, upasuaji na jengo la kufulia ujenzi wake ulianza 01/06/2022. Muda uliopangwa kukamilisha mradi 14/04/2022 kwa jengo la Maabara, 29/04/2022 kwa jengo la OPD na 30/07/2022 kwa majengo ya mama na mtoto, upasuaji na jengo la kufulia.

GHARAMA ZA MRADI

Fedha iliyopokelewa kutoka chanzo cha TOZO za miamala ya simu ni sh 500,000,000/= kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji Tunduma sh 31,990,498/= na sh. 12,450,000 ni thamani ya nguvu za wananchi hivyo kuufanya Mradi kuwa na thamani ya sh. 544,440,498/= Matumizi sh. 438,564,326.23 kutoka katika fedha za TOZO, 31,990,498 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri, Sh 12,450,000 nguvu za wananchi na bakaa ya fedha za mradi ni sh 61,435,673.77/=

 

HALI YA UTEKELEZAJI WA MRADI

Hali ya utekelezaji wa mradi hadi sasa ni asilimia 65 na shughuli zilizofanyika ni kama ifuatavyo;

  1. Jengo la maabara na OPD yamefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
  2. Uchimbaji wa kisima umekamilika na kisima kinatumika
  3. Kichomea taka kimekamilika
  4. Jengo la upasuaji, mama na mtoto lipo katika hatua ya ujenzi wa boma
  5. Jengo la kufulia, msingi umekamilika na kazi inayoendelea ni upangaji wa Hardcore

MCHANGO WA WANANCHI KATIKA MRADI

Nguvu za wananchi zilitumika katika kazi ya kusafisha eneo la mradi, Uchimbaji wa shimo kwa ajili ya ujenzi wa choo cha muda na kumlipa mlinzi wa eneo la mradi.

Thamani ya nguvu za Wananchi inakadiriwa kuwa sawa na Tshs 12,450,000/=

 

MANUFAA YA MRADI

Manufaa ya mradi huu ni Kuimarisha huduma za Afya kwa wakazi wa Kata ya Mwakakati na kwa wakazi wa maeneo Jirani ya Kata zinazozunguka eneo la mradi.


HITIMISHO

Tunamshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha huduma za Afya nchini hususani katika Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kutupatia fedha za Tozo ili kujenga kituo cha Afya Mwakakati na kutatua changamoto ya upatikanaji wa huduma za Afya kwa wakazi wa Kata ya Mwakakati na Halmashauri ya Mji wa Tunduma kwa Ujumla.


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Jengo la wagonjwa wa nnje (OPD)

 




 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


Jengo la Maabara

 

 

 

HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA VIONGOZI March 14, 2023
  • UTEUZI WA VIONGOZI March 15, 2023
  • UTEUZI NA KUBADILISHIWA VITUO KWA MAKATIBU TAWALA March 16, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • KUFIKA MWAKA 2025 TUNATAKA UNYWAJI WA MAZIWA TUNDUMA UFIKE 60% _MWALUKASA

    March 15, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 14, 2023
  • SIRI NDIO UHAI WA SERIKALI, EPUKENI KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTUMIANA TAARIFA ZA SERIKALI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • SITEGEMEI PIKIPIKI HIZI MWENDENAZO BAR _ DC LULANDALA

    March 11, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa