• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

UJENZI WA MRADI WA MAJI UHURU

Start Date: 2022-01-11
End Date: 2022-09-30

Mradi wa maji Uhuru-Tunduma unaotekelezwa katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma utakapokamilika utaweza kusambaza maji katika Kata za Uwanjani,Tunduma na Makambini , Mradi huu unatekelezwa kwa fedha za Serikali Kuu kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO -19 (TCRP)  na Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF). Mradi unatekelezwa kwa kutumia Mkandarasi na wataalam wa ndani (force account) ambapo ulianza tarehe 11.01.2022 na unatarajiwa kukamilika tarehe 30.09.2022.


GHARAMA ZA MRADI.

Fedha iliyotengwa kama gharama za mradi huu ni  Sh. 876,753,123.97, ambapo Sh. 504,039,499.01 ni fedha za UVIKO-19,  Sh. 370,032,623.96 ni fedha za Mfuko wa Taifa wa Maji na Sh. 2,681,000 ni thamani ya nguvu za wananchi. Hadi sasa jumla ya shilingi 506,441,288.56 zimetumika kwa kumlipa mkandarasi na ununuzi wa vifaa. Fedha iliyobaki ni Sh.370,311,834.41


UTEKELEZAJI WA MRADI.

Mpaka sasa, ujenzi wa Mradi umefikia asilimia 85 katika Kata za Uwanjani, Tunduma, na Makambini. Kazi zilizofanyika ni Ujenzi wa Tenki la maji lenye ujazo wa lita laki tano (500 000), Ujenzi wa vituo 6 vya kuchotea maji vya malipo ya kabla, Ujenzi wa nyumba ya pampu (Pump house), njia ya Umeme, ufungaji wa pampu, Uchimbaji wa mitaro, na ulazaji wa bomba kwa umbali wa kilomita 10.2.


MCHANGO WA WANANCHI

Wananchi wa Kata za Uwanjani, Tunduma na Makambini wametoa mchango wao kwa kushiriki kwenye shughuli mbalimbali kwenye maeneo ya kujenga vituo vya kuchotea maji na uchimbaji wa mitaro ya kupitisha mabomba. Thamani ya michango wao ni Sh.2,681,000.0

 

5MANUFAA YA MRADI.

Mradi huu utaongeza upatikanaji wa Maji Safi na salama kwa wananchi wapatao 23,261 na kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa asilimia 9.8 kutoka asilimia 65.45 mpaka kufikia asilimia 75.25 katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA June 11, 2023
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SHULE YA SEKONDARI TUNDUMA TC June 10, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA DEREVA August 29, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • TUNDUMA YASHIKA NAFASI YA SITA YA LISHE KITAIFA 2022/2023

    August 29, 2023
  • WAZIRI MKUU ATOA ONYO KWA WATOA LESENI ZA UCHIMBAJI

    August 28, 2023
  • DC LULANDALA AWAPA MACHINGA SIKU 3 KUHAMIA KWENYE SOKO LAO

    August 25, 2023
  • MKESHA WA MWENGE WA UHURU 2023 KUAMBATANA NA KUSHEREKEA MAFANIKIO YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    August 22, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa