• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Utalii

TAARIFA YA MPANGO WA KUKUZA UTALII HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA.

Halmashauri ya Mji Tunduma inatekeleza agizo la kuwa na maeneo ya Utalli ili kuweza

kukuza uchumi wa Halmashauri na nchi kwa ujumla. Vifuatavyo ni baadhi ya vivutio

vya Utalii vilivyopo katika Halmashauri yetu:

S/N  JINA LA KIVUTIO  INAKOPATIKANA KATA NA
MTAA
HUDAMA INAYO
PATIKANA
01  MAKABURI YA CHIFU
MWAKA, ENEO HILI
LINAMITI MICHACHE NA
MAKABURI YA MACHIFU NA
VITU VYA KICHIFU.
MAJENGO MAPYA KATA YA
MAJENGO
-HUTUMIKA KUFANYIA
MAOMBI NA
MATAMBIKO YA KIJADI.
-HAKUJA ENDELEZWA
02  JIWE MANGA
(CHIMBANENGO)
KATA YA MUUNGANO MTAA
WA MKOMBOZI
KATIKA ENEO HILI
MAOMBI HUFANYIKA
NA KWA HISTORIA
WATU WAMEPOKEA
MAJIBU YAO KUPITIA
ENEO HILO.
03  ENEO LA MPAKA  MPAKA WA TANZANIA NA
ZAMBIA AMBAO KWA SASA
UMAKUWA NA UWAZI
MKUBWA BAADA YA
KUSAFISWA NA PANDE
ZOTE MBILI YAANA
TANZANIA NA ZAMBIA.
HUU NI MPAKA UNAO
TENGANISHA MAENEO
AMABAYO NI TANZANIA
NA ZAMBIA.
-HAKUJA WNELEZWA
04  MSITU WA DANIDA  KALOLENI KATA YA
KALOLENI
MSITU WA ASILI
-UNAENDELEZWA NA
KUSIMAMIWA NA
IDARA YA MAJI.
05  RECRETION CENTER  MTAA WA DANIDA KATA YA
KAOLENI
HII IPO KWENYE
MIKAKATI YA
KUJENGWA.
MAANDALIZI YA
RAMANI NA MICHORA
YANAENDELEA.


Hivi ni vivutio vinavyopatikana katika Halmashauri ya Mji Tunduma ikiwemo Lugha ya

KINYAMWANGA kama Lugha asilia ya Wanyamwanga ambao ni wenyeji wa Mji wa

Tunduma na Wilaya ya Momba kwa ujumla.

Licha ya kuwepo na vivutio hivyo Halmashauri ina mpango mkakati wa kuwa na eneo la

kiutalii ambalo ndani yake kutakuwepo na mambo mbalimbali ya Kiutamaduni na hata

Tamaduni zingine za kiafrika (Recreation center),lengo ni kuwa na vyanzo vya mapato

vinavyotokana na Utalii.


MIKAKATI YA KUENDELEZA NA KUKUZA UTALII WETU

Halmashauri ina mikakati kabambe ya kuhakikisha tunakuza Utalii katika Mji wa

Tunduma na inakua miongoni mwa vyanzo vya mapato kama ifuatavyo:-

(i) Kuweka Bango lenye kuorodhesha vivutio vyote vilivyopo Halmashauri ya Mji

Tunduma na vinakopatikana hasa maeneo ya MPEMBA kama lango la Mji na kila njia

panda kuelekea kivutio kilipo ili kuonesha uwepo wake.

(ii) Kutengeneza njia kuelekea eneo lolote la kivuti kama vilivyo orodheshwa

(iii) Kuzungushia wigo/uzio na kuweka Vimbweta maeneo ya kupumzikia watalii na

kujenga maeneo ya machifu mahali wanapofanyia ibada zenye lengo la kulinda amani

ya Mji wetu na nchi kwa ujumla.Pia uwepo wa eneo hili utasaidia kukuza mapato ya

Halmashauri.

(iv) Kulinda na kusafisha maeneo ya vivutio ili kuwa safi pasitokee uharibifu mfano

eneo la Mpaka, ili kufanikisha hili kamati ya Ulinzi na Usalama pia Ofisi ya Mazingira

kushirikiana kwa pamoja.


Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA VIONGOZI March 14, 2023
  • UTEUZI WA VIONGOZI March 15, 2023
  • UTEUZI NA KUBADILISHIWA VITUO KWA MAKATIBU TAWALA March 16, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • KUFIKA MWAKA 2025 TUNATAKA UNYWAJI WA MAZIWA TUNDUMA UFIKE 60% _MWALUKASA

    March 15, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 14, 2023
  • SIRI NDIO UHAI WA SERIKALI, EPUKENI KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTUMIANA TAARIFA ZA SERIKALI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • SITEGEMEI PIKIPIKI HIZI MWENDENAZO BAR _ DC LULANDALA

    March 11, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa