Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma anawatangazia wananchi wote nafasi 173 za Ajira ya Mkataba kwa kazi zifuatazo, Wakusanya Mapato,Madereva, Wahudumu wa Ofisi, Watunza Kumbukumbu Wasaidizi, Walinzi, Usafi na Mazingira, Watunza Bustani, Mhandisi II (Ujenzi), Afisa Ugavi Msaidizi na Afisa TEHAMA Msaidizi . Atafanya kazi ndani ya Halmashauri ya Mji Tunduma.
Kupata Tangazo hilo Bofya hapa
Msampania, Chapwa - Tunduma
Sanduku la Posta: P. O. BOX 73
Simu ya Mezani: +255 25 2957389
Simu ya Mkononi: +255 754 549 511
Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa