• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Huduma ya Maendeleo ya Jamii

Katika robo ya kwanza imeweza kuratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa mujibu wa Sheria za uendeshaji Mamlaka za Serikali za Mitaa unaohusika na utengaji wa fedha kwa asilimia 10% zinazotokana na makusanyo ya mapato ya ndani pamoja na mwongozo wa usimamizi wa fedha za uendeshaji akaunti ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Mfuko huu ni wa mzunguko (revolving fund) kwa mujibu wa Sheria ya Fedha ya Serikali za Mitaa ya tarehe 30/06/2018 Sura 290, kanuni zilizotungwa chini ya kifungu 37A (4) na kutolewa katika tangazo la serikali na 286 la tarehe 5/4/2019 pamoja na marekebisho ya kanuni yaliyotolewa katika Tangazo la Serikali na 217 la tarehe 26/02/2021.  

Halmashauri ya Mji Tunduma imeendelea kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia utekelezaji wa agizo la Serikali la kutenga asilimia 10% ya mapato ya ndani kwa kila mwaka wa fedha kwa ajili ya kuwezesha vikundi vya wanawake (4%), vijana (4%) na watu wenye ulemavu (2%).

Na kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 Halmashauri ya Mji Tunduma katika mipango na Bajeti imepanga kutoa mikopo kwa asilimia kama ifuatavyo:-

  • 4% vikundi vya wanawake –TSh.309,179,200/=
  • 4% vikundi vya vijana –TSh. 309,179,200/=
  • 2% vikundi na watu wenye ulemavu - TSh.154,589,600/=

Mikopo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 itatolewa kwa mujibu wa Melekezo ya kutumia Mfumo wa Kielekroniki unaotambulika kwa Jina la TPLMIS - Ten Percent Loan Management Information System uliowezeshwa katika ngazi za Mamlaka za Serikali za Mitaa ndiyo utakaotumika kwa ajili ya kuingiza taarifa mbalimbali zinazohusiana na 10%.

Mfumo huu ni maalum kwa ajili ya mikopo inayotolewa na Halmashauri ambayo itawezesha vikundi kuweza kuomba mikopo kwa kutumia link www.mikopohalmashauri.tamisemi.go.tz 

Faida za Mfumo wa mikopo ya 10% ya mapato:-

  • Kuongeza uwazi wa uombaji, utoaji na urejeshwaji wa mikopo
  • Kuongeza uwajibikaji
  • Kuwa na usawa katika utoaji wa mikopo
  • Kuongeza uadilifu katika kutoa huduma
  • Kuwa na takwimu sahihi na kwa wakati

 

Halmashauri ya Mji Tunduma katika robo kwanza Jumla ya maombi 40 ya vikundi vya wanawake 27 na Vikundi vya Vijana 13 na watu wenye ulemavu 8 yaliweza kupokelewa na kufanyiwa uhakiki ikiwa ni pamoja na mapenekezo husika kuwasilishwa katika vikao vya kisheria kwa ajili ya kupata ridhaa. Halmashauri imeweza kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani Tsh. 300,000,000/= kwa mujibu wa kanuni na fedha hiyo itatolewa kwa kuzingatia asilimia kwa makundi imependekezwa kutolewa kwa mchanganuo ufuatao:-

4% - Vikundi vya Wanawake Tsh 120,000,000

4% - Vikundi vya Vijana        Tsh 120,000,000

2% - Watu wenye Ulemavu   Tsh   60,000,000

                    JUMLA               Tsh 300,000,000

Ikiwa ni pamoja na Fedha za marejesho (Revolving Fund) shilingi 254,400,000/= na kufanya Jumla ya Mikopo yenye thamani ya shilingi 554,400,000/= inatarajiwa kutolewa kwa vikundi.

Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA VIONGOZI March 14, 2023
  • UTEUZI WA VIONGOZI March 15, 2023
  • UTEUZI NA KUBADILISHIWA VITUO KWA MAKATIBU TAWALA March 16, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • KUFIKA MWAKA 2025 TUNATAKA UNYWAJI WA MAZIWA TUNDUMA UFIKE 60% _MWALUKASA

    March 15, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 14, 2023
  • SIRI NDIO UHAI WA SERIKALI, EPUKENI KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTUMIANA TAARIFA ZA SERIKALI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • SITEGEMEI PIKIPIKI HIZI MWENDENAZO BAR _ DC LULANDALA

    March 11, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa