• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

Imewekwa : May 28th, 2025

Atwiya Mohamed na Silvesta Mtafya, TTC

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe - RMO, Dkt. Boniface Kasululu, kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa huo, tarehe 28 Mei 2025 ameshiriki katika hafla ya kufunga na kuhitimisha mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania ( UMITASHUMTA) ngazi ya Mkoa.

Hafla hiyo imefanyika kwenye viwanja vya michezo vilivyopo katika Shule ya Sekondari Songwe Sunrise, iliyopo Kijiji cha Nanyara, wilayani Mbozi.

Dkt. Kasululu ameambatana na Afisa Elimu wa Mkoa, Mwalimu Majuto Njanga, na kupokelewa na Mkuu wa shule hiyo, pamoja na uongozi wa shule.

Wadhibiti wa Ubora wa Shule, Maafisa Elimu wa Halmashauri na Kata, Wakuu wa Shule jirani na Walimu Wakufunzi, Mwenyekiti wa Kijiji, Mtendaji wa Kijiji, Chifu wa Kijiji cha Nanyara, pamoja na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za mkoa wa Songwe ni miongoni mwa washiriki katika hafla hiyo.

Mashindano hayo yalianza rasmi tarehe 25 Mei 2025 na kuhitimishwa tarehe 28 Mei 2025, ambapo lengo ni kumpata mshindi pamoja na kuunda Timu ya mkoa itakayowakilisha Mkoa wa Songwe kwenye mashindano ya kitaifa yatakayofanyika mkoani Iringa kuanzia tarehe 6 Juni 2025.

Katika mashindano hayo ambayo yame husisha Michezo mbalimbali kama vile mpira wa miguu, mpira wa pete, riadha, ngoma za asili, Uchoraji, pamoja na uimbaji, Halmashauri ya Mji Tunduma imeshika nafasi ya pili huku nafasi ya kwanza ikishikwa na Halmashauri ya Wilaya ya Songwe huku Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi ikishika nafasi ya tatu.

Akizungumza wakati wa kufunga mashindano hayo, Dkt. Boniface Kasululu aliwapongeza walimu na wanafunzi kwa juhudi kubwa walizozionyesha, na kuwasihi wanafunzi pamoja na walimu walioteuliwa kuiwakilisha Songwe kitaifa kuongeza juhudi zaidi ili kuhakikisha mkoa unafanya vizuri katika mashindano ya kitaifa.

Mashindano ya UMITASHUMTA yameendelea kuwa chachu ya kuibua vipaji na kuimarisha mshikamano miongoni mwa wanafunzi wa shule za msingi nchini.

Matukio katika Picha:

(Picha zote na Julius Evandino, TTC).

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa